Heshma kwenu Wakuu,
Naombeni kwa mdau yeyote mwenye Audio Link (full coverage) ya hotuba za Mh. Lema na Mh. Mbowe zilizotolewa viwanja vya NMC 7/4/12 juu ya hukumu ya kesi ya Lema na hatma ya ubunge wa Arusha anisaidie hapa ili nipate kuisikiliza.
Nawasilisha.
Habari za jioni wadau.
Kama kichwa cha bandiko kinavyojieleza hapo juu, tunatafuta nafasi tupu ya kazi (preferably in Arusha) kwa ajili ya mdogo wetu aliyemaliza Kozi yake ya Diploma ya Uhazili katika Chuo cha Utumishi wa Umma (TPSC) Tabora, Novemba 2011.
Kwa yeyote mwenye taarifa juu ya...
Kweli mkuu, hata mimi sasa naanza pata wasiwasi na watu fulani wa humu JF kwa kutokana na kile kiingereza chao chenye maneno magumu magumu mithili ya yale ya Mzee Punch wa enzi izo!
Mimi nakumbuka kaka yangu aliwahi kupanchiwa miaka ile ya 98 mimi nikiwa mwaka wa pili Sheria yeye mwaka wa tatu akapewa jina la "toto la majanini" roho yangu ilinumia sana!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.