Natafuta kazi: Personal secretary/ au Administrative assistant | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Natafuta kazi: Personal secretary/ au Administrative assistant

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by blue eyez, Jan 19, 2012.

 1. b

  blue eyez Member

  #1
  Jan 19, 2012
  Joined: Nov 18, 2011
  Messages: 8
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Habari za jioni wadau.

  Kama kichwa cha bandiko kinavyojieleza hapo juu, tunatafuta nafasi tupu ya kazi (preferably in Arusha) kwa ajili ya mdogo wetu aliyemaliza Kozi yake ya Diploma ya Uhazili katika Chuo cha Utumishi wa Umma (TPSC) Tabora, Novemba 2011.

  Kwa yeyote mwenye taarifa juu ya nafasi tupu ya kazi iliyotangangazwa tunaomba msaada wakuu ili tuweze fanya taratibu za kutuma maombi.

  Tunawashukuru nyote kwa muda wenu.

  Tunawasilisha.

  Novemba 2011
   
 2. c

  christer Senior Member

  #2
  Jan 20, 2012
  Joined: Feb 12, 2010
  Messages: 131
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  ok,jaribu kupeleka Cv katika kampuni za utalii hapa mjini tapata tu
   
Loading...