Recent content by bloobroo

  1. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mahusiano na mume wa mtu ni shughuli pevu

    Hahahaaa you make my day,
  2. B

    JamiiForums Tanzania Brand new Note 2

    Sema bei Mkuu.
  3. B

    JamiiForums Tanzania Mange Kimambi ahojiwa na Jeshi la Polisi jijini Dar

    Mdogo angu Mange, this is Africa and not America ow Europe , pse acha siasa za Tanzania watakufunga bure uache watoto wako, acha tukana watu hii nchi inawenyewe , psee sis STOP
  4. B

    JamiiForums Tanzania Nilikupenda sana Lowassa, kadiri unavyokaa kimya nazidi kuumia

    Daaah my president Lowassa, Roho imeniuma lakini ndo utawala wetu huo.
  5. B

    JamiiForums Tanzania Magufuli mpaka sasa hana 'Vision' yoyote kuhusu Tanzania?

    Ni kweli wakuu, Magufuli is presidential by accident sababu chaguo la Jakaya ni mdogo wake Membe na sababu za kumchagua ni upepo uliogeuka baada ya kumkata Lowassa , chama kiliogopa kumpitisha Membe kuogopa kukigawa chama. Ukawa wanamsubili wamuanike tumjue vizuri ili tufanye maamuzi sahihi.
  6. B

    JamiiForums Tanzania Mgombea Amina S. Ali aahidi kumlipa Lowassa fadhila.

    Duuuh Nchi yangu Tanzania,
  7. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta mke

    Bro mchec Ray C, ye nae anashida kama yako
  8. B

    JamiiForums Tanzania Mwenye Wasifu wa Mhe. Charles Mwijage naomba anijuze pls

    Charles mwijage, ni mtaalamu wa mafuta na gas, wala ajisikii ni mtu anaishi maisha ya kawaida kabisa, anaishi yombo shule pamoja na kupewa Nyumba za mawaziri lakini alikataa na kuendelea ishi uswazi, but ni mtu mwenye hela anakampuni yake ya transportation inaitwa otaligamba ina truck na...
  9. B

    JamiiForums Tanzania Sanitas Hospital vs AAR, nini hatma ya wagonjwa?

    AAR wamezidiwa, soon wataclose their operation kama AMI hospital Masaki. Wizi mtupu hawa wakenya wanachotufanyia,
  10. B

    JamiiForums Tanzania Muda umeisha, Babu Seya ndio basi tena?

    Daaah Mungu ni mwema atasikia kilio chao, sitaki kuamini kama ni kweli wote wametenda hilo kosa,
  11. B

    JamiiForums Tanzania Onyo kali kwa kamati kuu CCM chama changu, Baraza la wazee na Rais Kikwete

    I can't wait siku ifike Lowassa. Akatwe jina sijui itakuaje, yetu macho
  12. B

    JamiiForums Tanzania Mshahara anaolipwa Mkwasa unaleta picha gani kwa Watanzania?

    Brother me mkurugenzi Wanga. Analipwa USD 26,000 na nimbongo, acha wivu wewe komaa
  13. B

    JamiiForums Tanzania Nafundisha Marubani kienyeji

    Hahaaa na me nataka Mkuu., tupe ratiba na maelekezo Mkuu.
Back
Top Bottom