Shukrani sana mkuu Chief-Mkwawa we ni mmoja mtu mwenye msaada sana kwenye Jukwaa hili Mungu akubariki.
Any way, kama nikinunua hiyo Adapter ya hdmi kuna sababu ya kuConnect Wireless au ni Adapter peke ake inatosha. Maana TV yangu ni Samsung Flat nimeangalia haina Wireless wala Bluetooth mkuu.
Habari zenu Wakuu poleni na majukumu ya kutuelimisha ambao tupo nyuma kwenye hizi Mambo.
Kifupi ni kuwa kuna movie nilichukua kupitia hii Simu ya HTC One kwenye Laptop ya jamaa yangu sasa nataka kuangalia hizi movie kwenye TV aina ya Flat kama USB, lakini imekataa inakuja hii kitu hapa chini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.