Habari wandugu,
Tafadhali naomba msaada kwa yeyote aliye/anayefahamu mtu anatengeneza (kombucha - fermanted tea)chai iliyochachushwa au wengine wanaita chai ya kichina. nahitaji hiyo chapati - (SCOBY)
Mfano:
Na hivyo ulivyoshuhudia ni sehemu ndogo sana ya imani yetu pia maelezo yako yakiwa si sahihi(yenye ushabiki fulani au chuki binafsi). Kwanza kuingia kwenye matambiko makubwa si kila mtu tena hukp ni wa kiume waliochaguliwa. Na hata wakirudi hawawezi kutoa siri ya huko. Atakae kwambia ameenda...
Nilichelewa kwenye hii mada. Ila aliyeianzisha amechanganya na ushabiki wa fikra zake. Ila ukweli si huo. Tunatambika mpaka leo, kama si kwenye miti mikubwa basi kwenye majabali au maeneo walipoishi wazee wetu. Hizo ni alama za maeneo tu na si kwamba tunaabudia
miti ama mawe. Tofauti iko wapi...
Updates ni muhimu sana. Kushauriana kutofanya updates ni kupotoshana kikubwa ni kujua files gani za kukwepa, Kwa mfano kama ni mtumiaji wa Windows 7 kwenye updates za mwanzo kuna file lenye number kb....1033 lina size ya 2 MB hilo inabidi u right click and HIDE kwani ndilo linalocheck kama OS...
Naona ndugu yangu wewe ni Programmer mchwara.Pole sana kwa kuwadanganya watu kwamba huwezi kutumia Ubuntu na sio ubutu kwenye organization. Kwa taarifa yako Google wanatumia Version ya Ubuntu wanaiita Goobuntu.Tatizo linalowashinda wengi na wewe ukiwa mmoja wapo ni jinsi ya kuitaarisha ili ifae...
Fafanua nia yako ni email au ni database empty - Tafuta hapa kama nia yako ni email address Cryptome
Tahadhari: kuna databaase za majina na email za watu ndani ya mashirika ya kijasusi USA, hivyo kama unafanyia kazi zako nyumbani sawa lakini kama ni kwa ajili ya spam - kuwa mwangalifu
Kaka hizo ni containers, kwani nina series ya pictures tangu wanayabeba mpaka wanafia hatua hiyo.
kuhusu mazingira hilo ni eneo la baridi kali ya kufikia kuganda yaani chini ya minus - kwa hiyo kwa upande wa sehemu za joto kama Dar nadhani itahitaji Ventilation ya kutosha na ku apply rangi inayo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.