Recent content by Blacky Arusha

  1. Blacky Arusha

    Tuache dharau kwa wanaume wa DSM! Kila siku Wanaume wa Dar, wanaume wa Dar.. Huu ni udhalilishaji

    Wanaume wa dar mmoja achukue suruali ya pink hapo kariakoo kwenye duka limeandikwa dar es salaam men's wear
  2. Blacky Arusha

    Yanayojiri: Uchaguzi wa Marudio Kenya - Oktoba 26, 2017

    Ukiwa muongo usiwe msahaulifu nakuona unang'ata na kupuliza, pole sana lumumba boy
  3. Blacky Arusha

    Yanayojiri: Uchaguzi wa Marudio Kenya - Oktoba 26, 2017

    Na wewe umejuaje ni wa ethiopia
  4. Blacky Arusha

    Tutaje majina ya wasanii wanaobwia Ngada na Bangi

    Hawajaona haiwapi stimu, tatizo la wahuni wanataka wajaribu kila stimu sasa na ngada haijaribiwi ukitest ndio umeanza uteja
  5. Blacky Arusha

    Tutaje majina ya wasanii wanaobwia Ngada na Bangi

    Huyo ni mla unga, mchunguze fresh
  6. Blacky Arusha

    Tutaje majina ya wasanii wanaobwia Ngada na Bangi

    Bangi akivuta yanampata nini?
  7. Blacky Arusha

    Hivi VAT huwa inakatwa kwenye mauzo au kwenye faida?

    Hapo kuna input tax paid on purchases and output tax paid on sales
  8. Blacky Arusha

    Tutaje vijiwe vya wauza bangi Dar es Salaam

    Kijiwe changu ni kijiweni
  9. Blacky Arusha

    Mtangazaji wa Clouds tv 360 awataka Wasomi wadaiwa HESLB wakauze Ice Cream walipe deni

    Cha kwako kinachoeleweka umeandika, usiropoke ovyo utapata basha
  10. Blacky Arusha

    Mtangazaji wa Clouds tv 360 awataka Wasomi wadaiwa HESLB wakauze Ice Cream walipe deni

    Hao clouds wote akili zao ndio zipogo hivyo utasema watoto wa baba mmoja, kila watangazaji wanne wa clouds watatu ni vichaa #TWAWEZA
  11. Blacky Arusha

    Wakati wengine wanalala.. Rwanda waliamka na kuanza kazi

    Tulikuwaga nazo tukaambiwa zinaenda kutengenezwa. Zilivyoruka angani ndio hazikurudi tena
  12. Blacky Arusha

    Msemo uliokukera zaidi mwaka huu

    'Imooooo' nalichukia sana hili neno
Back
Top Bottom