Tutaje majina ya wasanii wanaobwia Ngada na Bangi

Dah.. Imemtesa na kumharibia future mshikaji wangu... Alikuwa yuko njema kichwani... Toka kwa bibi Rwakatare ....alianza mdogomdogo akiiga kwa kutoka kwa bro wake...sasa hivi hata kuoga kwake ni shida....anatembea na gitaa tu kupiga kwenyewe Hajui....tuliokuwa washkaji tukimuona tunamkimbia... maana stori zake ni za kupigania uhuru tu... sijawahi kujua ni uhuru wa wapi....
Huyo ni mla unga, mchunguze fresh
 
Bangi haina tatizo ni watu wengi wanaojitambua wanavuta na maisha yao yanasonga.
Ishu hapa tujadili NGADA
Ukichunguza wala ngada, wengi wao walianza na Bange, walipoona haiwapi stimu wanayotaka anymore (body resistance) ndo wakaamua kuanza kuchanganyia na ngada mdogomdogo, baada ya muda wanasniff then wanajidunga kwenye mishipa. So, usitetee bangi coz mara nyingi imekuwa ndo mwanzo wa kuelekea kwenye utumiaji wa ngada.
 
unga/ngada ndo inaharibu watu.

bangi haina shida yoyote infact ni dawa inayotibu magonjwa mengi sana
 
Ukichunguza wala ngada, wengi wao walianza na Bange, walipoona haiwapi stimu wanayotaka anymore (body resistance) ndo wakaamua kuanza kuchanganyia na ngada mdogomdogo, baada ya muda wanasniff then wanajidunga kwenye mishipa. So, usitetee bangi coz mara nyingi imekuwa ndo mwanzo wa kuelekea kwenye utumiaji wa ngada.
Hawajaona haiwapi stimu, tatizo la wahuni wanataka wajaribu kila stimu sasa na ngada haijaribiwi ukitest ndio umeanza uteja
 
Bangi kama majani sioni tatizo lake ila bangi zile wanazochanganya na vitu vingine hzo ndio tatizo bangi kama majani tu aina tatizo ukilinganisha na sigara na ilo wengi na wataalamu hawataki kulisema wapo watu wengi wanavuta bange ni si vichaa au machizi fresh na kama ingekuwa hvyo leo jamaica ndo ingekuwa nchi inayoogoza kwa machizi duniani

Nakupa mtiani tu nenda kanunue leso nyeupe mbili then tafuta mtu anayevuta bangi pia nunua na siga piga pafu moja zito la sigara then chukua leso pulizia ule moshi wa sigara kwenye ile leso fanya hvyo hvyo kwa bangi pia then angalia zile leso mbili moja ya moshi wa sigara na nyingine ya moshi wa bangi hapo utapata jibu kipi kina hatari kwa kuangalia tu
 
Back
Top Bottom