Recent content by BlackTrump

  1. BlackTrump

    JamiiForums Tanzania Natafuta mume

    Ni kweli PM umefunga?
  2. BlackTrump

    JamiiForums Tanzania Nilikuwa nimelala nikawa naota yafuatayo

    Mkuu tufungue ofisi ya kutabiri, tutapiga pesa sana .! [emoji23][emoji23]
  3. BlackTrump

    JamiiForums Tanzania Serikali ya awamu ya tano inadhoofisha wakandarasi wa ndani

    Serikali wana mpango gani na wakandarasi wa ndani?
  4. BlackTrump

    JamiiForums Tanzania Afrika tuna cha kujifunza kutoka China na Ujerumani, je kuna haja viongozi wazalendo kuongezewe muhula?

    Hakuna ulazima wa kuiga siasa za nchi za nje. Tubaki na katiba yetu.
  5. BlackTrump

    JamiiForums Tanzania Huyu Binti ungeachana nae, Mungu atakuwa kaona mbali

    Mapenzi bana kwani mkuu ni maeneo gani vile wanaishi?
  6. BlackTrump

    JamiiForums Tanzania Hivi ni kweli kuna ushirikina au laana katika mambo ya mapenz?

    Haahaaa.. Tajirimsomi umekutana na kadhia gani?
  7. BlackTrump

    JamiiForums Tanzania Mke mwema nani amjuaye?

    Hakika..
  8. BlackTrump

    JamiiForums Tanzania Mapenzi yalikuwa zamani,siku hivi hata mlio wa kitandani wanaiga sauti hazisisimui

    Leo milio kesho kuna maji mengi..haya Mada ni mada bloodfool!
  9. BlackTrump

    JamiiForums Tanzania Nyimbo yenye vionjo vya mapenzi matamuu

    Competition ya bongo fleva imekuwa kubwa sana..huwezi kutoka kwa kipindi hichi ila ni vizuri kujaribu kuliko kutokufanya kabisa. Sent from my Lenovo A7000-a using JamiiForums mobile app
  10. BlackTrump

    JamiiForums Tanzania Mwanamke mrembo lakini ngozi yake ngumu

    Mkuu hongera sana wala hata usikimbie, Umepata mwanamke OG kabisa wala hata usilalamike ni adimu sana karne hizi.
  11. BlackTrump

    JamiiForums Tanzania Hebu sema neno moja kwa single mothers wote kuwatia moyo kwa magumu wanayopitia.

    Mungu azidi kuwapa baraka.
  12. BlackTrump

    JamiiForums Tanzania Mchumba baada ya muda awe mke

    Habari za weekend wananchi wenzangu, Napenda kuwapa heshima kubwa wote wanaochangia humu JF. Nimekuwa nikifanya research juu ya watafutao wapenzi, wake, michepuko na mirejesho yao pia. Nimekuwa nikisita sana kuweka tangazo humu ila it's now a point of No return. SERIOUSLY nahitaji mchumba...
  13. BlackTrump

    JamiiForums Tanzania Ukimstahi Mke huzai naye.....

    Basi sawa.. naona unatupeleka mvange
  14. BlackTrump

    JamiiForums Tanzania Nilikosa mtoto wa kiarabu kwa sababu ya mama yake. nikawa sipendi kupita Maeneo ya Ilala kukumbuka Machungu

    Haaahaa Mkuu sio mama mkwe ndio kakukosesha mtoto, tatizo choo
Back
Top Bottom