KayScarpetta
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 1,251
- 774
Kwa hiyo hapa ndio umeona umepata njia ya kuhihusisha chadema na hii issue...kwa hiyo juliana sasa anajulika zaidi kama yule mwanadada aliyekuwa chadema na wala sio waziri kwenye serikali ya jamhuri ya muungano wa tanzania kutoka chama cha mapinduzi?!mdogo wake naibu waziri yule mwanadada aliyekuwa chadema,aliyesema siku ya kuteuliwa kwamba kama bado ningekuwa chadema ningekuwa kimada wa mbowe,mdogo wake ndo huyo anayesagwa na hilo dada