Recent content by blackT

  1. B

    JamiiForums Tanzania GE2020 Wana Mbeya Tumekukataa Mh. Tulia

    Angeendelea na mpango wake wa awali wa kugombea Rungwe labda angepata. Kwa Mbeya mjini itabidi nguvu kubwa sana itumike kufanikisha hilo
  2. B

    JamiiForums Tanzania Tani Milioni 1 za ufuta zanunuliwa mkoa wa LINDI

    Hizo ni kilo bilioni moja na ushee, nadhani sio sawa
  3. B

    JamiiForums Tanzania Tani Milioni 1 za ufuta zanunuliwa mkoa wa LINDI

    Nadhani mtoa mada aangalie vizuri hizo kilo kama ni sahihi.
  4. B

    JamiiForums Tanzania Unahitaji spare kwa ajili ya gari lako? Usiache kupitia huu uzi

    Nimeshatuma
  5. B

    JamiiForums Tanzania Unahitaji spare kwa ajili ya gari lako? Usiache kupitia huu uzi

    Nahitaji bampa la mbele na taa ya mbele kushoto, TOYOTA WISH nyeusi niko MBEYA. Naomba bei tafadhali
  6. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wadada tuwe makini. Kuna member wa kiume anaambukiza HIV kwa makusudi huku Jamii Forums

    Nijitetetee kwa kitu gani Hornest, nimeusoma uzi huu na nashangaa ghafla from Boom nimekuwa milionea. nitanunua hata flat ya inchi 20 sasa japo na baiskeli ya kuendea gheto
  7. B

    JamiiForums Tanzania Orodha ya mirandi ya Serikali iliyoota mbawa baada ya wafadhili kugoma kutoa pesa sababu za uongozi mbaya

    Kifupi hajui wajibu wa serikali kwa wananchi wake, akasome katiba ya jamhuri ya Muungano wa Tanzania
  8. B

    JamiiForums Tanzania US Department of State, Human Rights 2018 Report on Tanzania.

    Akili kubwa P, vijana hawakusomi vizuri tu.
  9. B

    JamiiForums Tanzania Naombeni points..lol

    Safi sana, ila tunapoongelea kuhitimu kiwango fulani cha elimu, neno sahihi la kutumia ni complete na si finish
  10. B

    JamiiForums Tanzania Acacia Yaikana Barrick Mchana Kweupe!. Yatoa Press Release na Kumruka Barrick Kuwa Haijui Chochote Kuhusu Makubaliano Yoyote na Tanzania

    Naweza kupataje soft copy ya hiki kitabu? please help
  11. B

    JamiiForums Tanzania Namba za Magari: Kwanini herufi “O” imerukwa!?

    Hizo herufi huwa hazitumiki, zinafanana na tarakimu 1 na 0. nakumbuka hata TZO ilirukwa miaka hiyo.
  12. B

    JamiiForums Tanzania Wanaotafuta kazi kwenye NGO eleweni hili

    Umenena vyema sana, tena ukute wanaokuinterview ni wabongo wanawapa majibu yote watu wao. Yaaani ile interview pannel wanashare maswali miongoni mwao. Hili limetokea nikiwa kwenye pannel moja na lilinishangaza sana.
  13. B

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Safe za mabenk au vyumba vya kuwekea hela viko sehemu gani kwenye mabenki na je ramani za vyumba vya pesa kwenye mabenki zinafanana kama vituo vya afy

    Umeandika vyema kabisa ila access ya strong room na ATM ni watu wawili. Hii ni kupunguza uwezekano wa kutokea wizi kirahisi, so mtu mmoja hawezi fungua na kuingia kwa vault (labda huyo mwenzake amuamini na kumpa access) mahali ilipo strong room sio siri kwa watumishi wa benki kwani bila access...
Back
Top Bottom