Hongera sana mkuu,na hii yakutosema kuwa unaenda kwenye sahili inaingia kwenye issue za imani ila inakaukweli flan ndani yake
Mambo yako ni vizuri ukayafanya kwa usiri
Na mimi nina ushuhuda,
Ila kwa alie anzisha uzi huu mungu amtangulie sana,majibu ya vitu vyote vilivyokuwa vinanitatiza katika usahili nimetoa humu,friends wapya nimekutana nao humu,tips za kuwakanda utumishi nimetoa humu,inspiration nimetoa humu…
Mtu asichukulie poa kabisa huu uzi📌
you will...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.