Recent content by black_handsome34

  1. black_handsome34

    JamiiForums Tanzania Naomba Kufahamu kama dodoma kuna ofisi ya taasisi ya hisa ya CAPITAL MARKETS AND SECURITIES AUTHORITY (CMSA)

    Habari!! Jamii forum. Naomba kufahamu kama dodoma kuna ofisi za taasisi ya masoko ya hisa CAPITAL MARKETS AND SECURITIES AUTHORITY (CMSA). Je, kama zipo zitakuwa maeneo gani?🙏
  2. black_handsome34

    JamiiForums Tanzania KWELI Mpapai dume ukifungwa gunzi la mhindi au kitu chochote huzaa

    😀😀😀 somehow kuna ukweli ndani yake ila mpaka uukate uchipue upya kisha funga gunzi. Usisahau kunipigia kura kwa kugusa apa chini🙏🏾👇🏾👇🏾👇🏾👉🏾SoC04 - Tanzania tuitakayo: rasilimali watu kwenye ulimwengu wa sayansi na teknolojia
  3. black_handsome34

    JamiiForums Tanzania Namna ya kujua kama Simu yako Imedukuliwa 'Hacked'

    Kwa uelewa juu ya teknolojia tazama chapisho zuri kisha usisahau kunipigia kura🙏🏾🙏🏾👇🏾👇🏾👇🏾👇🏾SoC04 - Tanzania tuitakayo: rasilimali watu kwenye ulimwengu wa sayansi na teknolojia
  4. black_handsome34

    JamiiForums Tanzania Marekani yatangaza zawadi ya bilioni 27 atakaefanikisha kumpata mdukuzi

    mtanzania naomba kura yako🙏🏾🙏🏾👇🏾👇🏾👇🏾SoC04 - Tanzania tuitakayo: rasilimali watu kwenye ulimwengu wa sayansi na teknolojia
  5. black_handsome34

    JamiiForums Tanzania Rais Samia, kwanini unazipuuza Ripoti za Tume ya Haki za Binaadamu na Utawala Bora? Mnyeti na Makonda wanabaki vipi Serikalini?

    Mtanzania 🙏🏾 naomba kula yako👇🏾👇🏾👇🏾SoC04 - Tanzania tuitakayo: rasilimali watu kwenye ulimwengu wa sayansi na teknolojia
  6. black_handsome34

    JamiiForums Tanzania Ni kitu gani ulikuwa unakipenda lakini ulilazimika kukiacha kwa sababu ya hali yako ya Kiuchumi?

    Kutembelea watu wenye uhitaji kufurahi nao na kula pamoja. Kwani ni moja ya kuonyesha hofu ya mungu kama Dr. Mengi🙏🏾
  7. black_handsome34

    JamiiForums Tanzania Mambo yanayomtofautisha mvulana na mwanaume

    Hakuna utofauti apo bana! Ni misemo tu ya watu basi nipe utofauti wa kusayansi kama ule uliotofautisha mwanaume na mwanamke. Labda nitaelewa🤔
  8. black_handsome34

    JamiiForums Tanzania Unapoingia kwenye mahusiano, hakikisha unajua jinsi ya kutoka endapo penzi litafikia tamati

    Mahusiano yataisha kwa nyie ote kupunguza au kuisha kwa vile vitu mlivyozoeana kupeana mfano upendo, muda, pesa na furaha. Japokuwa kila mtu anatakiwa atambue dhamira ya yake mfano mahusiano ya kimaendeleo. Mmoja akienda kinyume na hapo kila mtu ni rahisi kupita zake shwaaaaa. #NAWAPENDA
  9. black_handsome34

    JamiiForums Tanzania Topics gani zilikutoa jasho, kipindi unasoma shule?

    😂😂😂🙌🏻
  10. black_handsome34

    JamiiForums Tanzania Watu wanapitia manyanyaso kwenye ajira

    Kwangu sina ukweli kuhusu kazi za kuajiriwa, I mean sina kazi. Ila nahisi uvumilivu, hekima, busara, utii na nidhamu ni nguzo tosha za kulinda kazi yako haijalishi BOSS atakuwa na roho gani kuna siku mungu atatia ukuu wake lazima uonekane. Lazima ubembeleze kinachokupa riziki kwani kuna wengi...
  11. black_handsome34

    JamiiForums Tanzania Topics gani zilikutoa jasho, kipindi unasoma shule?

    Jaman jaman circle ya basic mathematics mpk leo sikuwai kuisoma niliposikia advance haipo😂😂😂
  12. black_handsome34

    JamiiForums Tanzania Uzi maalumu wa kutoa maua kwa Members mbalimbali wa JF

    raraa reree salute🫂🫂🫡🫡
  13. black_handsome34

    JamiiForums Tanzania Anayejua faida ya vyama vingi atujulishe

    Ninachokifahamu! Uwepo wa vyama vingi nchini inaleta chachu ya maendeleo kwa chama tawala kisipotimiza sera za nchi na ilani za chama. Hivyo kupitia ukosoaji wa vyama ambavyo havijashika madaraka ya serikali kuu, hali hiyo inachukuliwa kama changamoto ya kuboresha huduma za kimaendeleo nchini...
  14. black_handsome34

    JamiiForums Tanzania Tabia za generation z za Tanzania ni hizi...

    Chapisho zuri limeongelea kila kitu namna ya rasilimali watu itaendana na ulimwengu wa sayansi na teknolojia Tanzania soma kisha piga kula kwa kugusa hapa chini👇🏾👇🏾👇🏾👇🏾👇🏾👇🏾SoC04 - Tanzania tuitakayo: rasilimali watu kwenye ulimwengu wa sayansi na teknolojia
  15. black_handsome34

    JamiiForums Tanzania Fedha yako Kubwa ya kwanza kuikamata ilikuwa kasi gani na ulijiskiaje...

    Chapisho la hisia na maono kwa watanzania☺️🙏🏾
Back
Top Bottom