Mambo yanayomtofautisha mvulana na mwanaume

plan z

JF-Expert Member
Jun 10, 2019
1,390
1,422
Mambo yafuatayo yameorodheshwa kuwa ndiyo tofauti kuu kati ya mvulana na mwanaume

1. Uwezo wa kukabiliana na magumu. Mvulana akipata magumu hulalamika au kukimbia kabisa magumu yake, mwanaume anapambana hadi mwisho

2. Majukumu. Namna kila mmoja anavyotimiza majukumu yake bila kulalamika

3. Uwezo wa kuthibiti hisia. Mvulana hawezi kutawala hisia zake na anaweza kufanya matukio ya kialifu

4. Wingi wa mbegu za kiume.(hivyo acha kujichua na kula vyakula vyenye afya ili usiwe na mbegu chache)

5. Maisha yako yapo mikononi mwako, mvulana hulalamika anapoona mambo hayaendi, mwanaume utambua maisha yake yapo mkononi mwake
 
Sasa jf kujioanaga wote wapo bora, hakuna mvulana utamuona humu. Labda mim tuuu
 
Wasisahau pia kukataa ndoa huku mpaka leo wanaamkia kwa baba na mama zao huo nao ni uvulana!

Tena uvulana Pro max
Kuna watu wanakaa kwao na wanauwezo kukuzidi ww na ukoo wako wote
Sometime tusipende kuongea non sense tupende kufanya research kabla ya kuongea
Mtu kukaa nyumban inategemea na sababu za nyuma ya pazia
Kuna watu nawajua wamejenga majumba tena zaidi ya 3 ila wao wanakaa home zile nyumba wamepangisha wanakula kodi,
Kuna watu wamezaliwa wachache na home pesa ipo anahama anaenda kukaa wap.
Lakin la mwisho mnatizama tamthilia za Azam na wake zenu huwa mnaona wa philipono,indian,spanish ata itarian wanakaa pamoja familia nzima watoto ad babu
Sitetei wanaokaa nyumban ila kuwazalau wanaokaa nyumban huo ni ujinga na upumbavu sio wote wanaokaa nyumbani ni tegemezi ila wapo ambao hutegemewa pia

Nazan tuache mawazo ya kimaskini kukaa au kuto kukaa nyumban sio hoja wala sio ujanja ni way of life ambayo kila familia ina njia yake yakuendesha maisha
 
Back
Top Bottom