Tabia za generation z za Tanzania ni hizi...

Huwezi linganisha vizazi vyenye changamoto tofauti. Vijana wa Kenya Wana changamoto zao na WA Tanzania pia Wana zao. Kufanya maandamano kupinga serikali au maamuzi ya serikali sio ujanja au kigezo Cha kuwa na sifa.

Hawa wa kwetu wana uhakika wa chakula, kusoma bure elimu ya msingi na sekondari, chuo wana uhakika wa kupata mikopo fursa za baadae pia wanazo ingawa uhakika wa soko la ajira ndio changamoto kwao.

Waache waishi maisha kulingana na mtindo wa wakati wao.
 
Kuna watu mpo smart sana..

Usishangae tunachati na maprofesa wetu humu
🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
 
Tanzania inahitaji GEN Z wakali zaidi ya Kenya
 
Huwezi linganisha vizazi vyenye changamoto tofauti. Vijana wa Kenya Wana changamoto zao na WA Tanzania pia Wana zao. Kufanya maandamano kupinga serikali au maamuzi ya serikali sio ujanja au kigezo Cha kuwa na sifa.

Hawa wa kwetu wana uhakika wa chakula, kusoma bure elimu ya msingi na sekondari, chuo wana uhakika wa kupata mikopo fursa za baadae pia wanazo ingawa uhakika wa soko la ajira ndio changamoto kwao.

Waache waishi maisha kulingana na mtindo wa wakati wao.
Hapo kwenye uhakika wa fursa za baadaye...unaongelea nchi hii ya kwetu ama...
  • Je,wana uhakika wa huduma za maji na afya au Panadol za Kenya zatosha ?
  • Je,kupanda kwa gharama za nauli na chakula kwao kuna wafurahisha...?
  • Je,ongezeko la tuzo na kodi kwenye huduma za fedha kwenye simu,umeme na vocha wanafurahishwa navyo...?
  • Je,wana uhakika wa haki wanapo kamatwa na polisi,au wazoee kuhonga polisi...
  • Je,wana uhakika wa upataji haki mahakamani...?
  • Je,wana uhakika wa mazingira rafiki ya kujiajiri na ulipaji kodi ?
  • Je,wana uhakika wa serikali kuwekeza kwenye kuwainua na kuwatftia Masoko au wabaki kuwauzia wakenya...?
 
Back
Top Bottom