Recent content by Black listed

  1. B

    JamiiForums Tanzania Ni sababu ipi muhimu sisi wazazi tunakuwa na mtoto zaidi ya mmoja?

    Kwahiyo "couple moja" watazaa mtoto mmoja na nusu, unamaanisha hivyo? Najuwa unaongelea average, lakini jambo lolote lazima lireflect uhalisia hata kama ni average. Tuambie, average ya mtoto mmoja na nusu kwa kila couple, maana yake nini? Hakuna couple (mme na mke) waliowahi kuzaaa nusu mtoto...
  2. B

    JamiiForums Tanzania Ni sababu ipi muhimu sisi wazazi tunakuwa na mtoto zaidi ya mmoja?

    Mkuu, kwa hiyo hapo, kila mwanamke atazaa watoto 2.1. Kimahesabu, hii maana yake nini? Tufafanulie!
  3. B

    JamiiForums Tanzania Ni sababu ipi muhimu sisi wazazi tunakuwa na mtoto zaidi ya mmoja?

    Average ya watoto 2.1, mmmmmh, kuna mtoto asiyekamilika?! Sijawahi kuona!
  4. B

    JamiiForums Tanzania Msaada, macho yamekosa nguvu ya kuona mbali baada ya kutumia Dawa kutibu Red eyes

    Wakati flani, dawa tunazotumia huwa zina "side effects", ambazo hudumu kwa muda mfupi na kisha kutoweka, kwani wapiganapo fahari wawili ziumiazo ni nyasi! Hivyo, kuwa mvumilivu, huenda ni jambo la muda mfupi tu.
  5. B

    JamiiForums Tanzania Waafrika hatukupaswa kutumia kalenda moja na wazungu. Sisi tuko nyuma ya wazungu kwa miaka 300

    Huwa najiuliza sana kuhusu kutangulia kuja duniani kati yetu sisi weusi na wazungu. Je, alitangulia mzungu kuja kwenye uso wa dunia au tulikuja kwa wakati mmoja?! Kama walitutangulia kuja duniani, hapo hatuwezi kushangaa wao kutuzidi kwa namna yoyote. Hii inatokana na ukweli kuwa, wao wana...
  6. B

    JamiiForums Tanzania Mhandisi wa Mradi wa Maji Mpigi Magohe afungwa Jela Miaka 20 kwa kuisababishia Serikali hasara

    Martha Athanas alikuwa na alternative; ya kulipa milioni mbili au jela, ina maana kashindwa kulipa fedha au kaona kwenda jela ni nafuu?! Hata hivyo nachukia sana watu walioaminiwa na serikali kwa wananchi halafu wanatumia rasilimali (ikiwemo fedha) kwa matumizi yao binafsi. Sheria ichukue mkondo...
  7. B

    JamiiForums Tanzania Waafrika uongozi umetushinda; huo ndo ukweli hatakama hatuupendi

    Anamaanisha huduma kwa jamii, poverty huwezi kueliminate kwa muda mfupi, it is a long time goal strategy!
  8. B

    JamiiForums Tanzania Hizi taasisi bila mjomba na mganga anayeeleweka hupati kazi

    Fimbo ya ufalme ikiingia kwenye ukoo, haitoki, labda kutokee tatizo kubwa sana!
  9. B

    JamiiForums Tanzania Julius Nyerere alikuwa mtu sahihi kupewa nchi kwa mazingira ya kipindi kile

    X + 35 + 35 = 100 X + 65 = 100 X = 100 - 65 X = 35% Je, hawa asilimia 35 walikuwa kundi gani? Hawana dini (wapagani)?!
  10. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hili jambo linanigharimu sana

    Mmmh, unakumbuka shuka tayari kumekucha!
  11. B

    JamiiForums Tanzania Love songs thread

    Massawe alikuwepo - Mr Ebo (RIP)
  12. B

    JamiiForums Tanzania Jumla ya ada ya kusoma degree ya udaktari katika chuo kikuu cha Kairuki kwa miaka yote mitano ni milioni 32, swali langu is it worth it ?

    Hapo anachoongelea ni academic quality, ambapo kinachoangaliwa sio tu facilities, bali walimu wa kutosha wenye qualifications stahiki, i.e, professors wa kutosha, PhDs za kutosha, nk.
  13. B

    JamiiForums Tanzania Wakuu wa shule wanawatesa sana walimu aisee

    Nilishuhudia mkoa flani (miaka ya nyuma), mwalimu mmoja kijana alitembea na mwanafunzi wa kike, headmaster alimuamuru alale chini na kisha akamtandika fimbo sita matakoni!
  14. B

    JamiiForums Tanzania Lewis Hamilton anajiunga na team ya Ferrari kutoka Marcedes

    Mbona husemi yanga na simba?
  15. B

    JamiiForums Tanzania Kwanini Mungu hakumuumba mwanaume akiwa ametahiriwa?

    You as a father in your family, you will be happy to see every member of the family be free doing whatever they want but not going against the law you put forward as the guidance for the family. You are not a dictator that you scrutinize the members of the family to do what you want and not...
Back
Top Bottom