Recent content by black foreigner

  1. B

    JamiiForums Tanzania Mshahara wa miradi ya RUWASA

    Dah, niliomba but sijawa selected 😭 😭 😭 😭 😭 😭 😭 😭
  2. B

    JamiiForums Tanzania This will be my biggest risk! Kilimo cha alizeti Singida

    Mkuu naomba mawasiliano yako tafadhali
  3. B

    JamiiForums Tanzania Kama una mtaji hizi ndio Ajira mkononi

    BIG IQ
  4. B

    JamiiForums Tanzania Niko njiani naelekea Moro, mliopo Morogoro au Dar naombeni mchongo

    Pole sana Mkuu, acha graduate tuzidi kupambana hapa nilipo kodi ishakata na cjui itakuaje
  5. B

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa Vyuo vinavyofundisha kozi ya Human Resources Management

    Ni campus moja au ni vyuo viwili tofauti
  6. B

    JamiiForums Tanzania TANZIA Ephraim R. Mwansasu, Nguli wa Nyimbo za Injili Afariki Dunia

    Poleni sana Wafiwa we used to have this tape at our home my late mom alikua anapenda sana kusikiliza nyimbo zake..too sad
  7. B

    JamiiForums Tanzania Mshahara wa miradi ya RUWASA

    duh, hata hawatoi ufafanuzi kwa nini hawajawaita watu, hatari sana
  8. B

    JamiiForums Tanzania TANZIA Mwanachama mwenzetu Warumi afariki dunia akipatiwa matibabu Hospitali ya Taifa Muhimbili

    RIP Warumi, nilitumia muda wote kusoma baadhi ya nyuzi zako, uliziandika kwa ufasaha na kwa lugha nzuri ya ki uandishi SO SAD 😭😭😭
  9. B

    JamiiForums Tanzania Mfahamu mwanadada Nightbird wa American Got Talent (AGT)

    Tayari Mkuu
  10. B

    JamiiForums Tanzania Mfahamu mwanadada Nightbird wa American Got Talent (AGT)

    Hatari sana
  11. B

    JamiiForums Tanzania Mfahamu mwanadada Nightbird wa American Got Talent (AGT)

    Mkuu kwa mda mfupi sana nimesoma saikolojia yako na haupo sawa kuna shida sehemu, Nikutakie kila lakheri .
  12. B

    JamiiForums Tanzania Mfahamu mwanadada Nightbird wa American Got Talent (AGT)

    Kwahiyo Mkuu kama ni Freemason ina uhusiano gani na mada hapo juu kumhusu Nightbirde?.. Na Simon akiwa Freemason si ni maisha yake binafsi mkuu
Back
Top Bottom