Mfahamu mwanadada Nightbird wa American Got Talent (AGT)

Kwahiyo Mkuu kama ni Freemason ina uhusiano gani na mada hapo juu kumhusu Nightbirde?.. Na Simon akiwa Freemason si ni maisha yake binafsi mkuu
Wanamuabudu shetani. Wewe unaona sawa na kukaa kimya njemba zikimuabudu ibilisi
Mkuu kwa mda mfupi sana nimesoma saikolojia yako na haupo sawa kuna shida sehemu, Nikutakie kila lakheri .
Huyo ni wale watu wenye tabia za Panya, yaan Panya ana tabia akiona mmetulia atajipitisha makusudi ili tu mghafilike na kuwapa heka heka, mwenye kiatu, mwenye rungu yeye yuleeeeee,

Kwa Kimombo huitwa Attention Seekers.
 
Kuwawini kisaikolojia. Yani nafuatwa huku natukanwa yani hapo ndio furaha yangu. Chokonoa na kuinflict pain without physical altaration or encounter. Wajanja wananipuuza wameshanijua basi inaniuma kichiz
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom