Recent content by Black bear

  1. Black bear

    JamiiForums Tanzania GE2025 Punde mtaanza tena kumsifia Samia!

    Siasa ni mchezo wa akili tu
  2. Black bear

    JamiiForums Tanzania TFF, Bodi ya ligi, Simba na Yanga mna agenda Moja, mnatuona mashabiki malofa

    Atawaalika viongozi wa yanga na Simba ikulu kula nao, atatoa 200 million kwa kila mmoja kwa kigezo cha kulieshimisha taifa kimataifa then atawatangazia kuwa mgeni rasmi kweye derby Mganga wangu kaniambia hivyo
  3. Black bear

    JamiiForums Tanzania Niliamini yoyote anaweza kutapeliwa baada ya kunasa kwenye mtego wa tapeli huyu

    Mtu akitaka kukutawala ni kupitia vitu viwili tu tamaa yako na udhaifu wako na ndio kanuni ya tapeli yoyote hutumia, ukiingia kwenye mtego umekwisha..
  4. Black bear

    JamiiForums Tanzania Maajabu ya tairi mbovu na utajiri uliojificha ndani yake

    Hizi ndio fulsa sasa
  5. Black bear

    JamiiForums Tanzania Utamsikiliza mwanamuziki gani Safarini?

    Ntapiga moden country mwanzo mwisho...
  6. Black bear

    JamiiForums Tanzania FT: Yanga 2-1 Red Arrows | Siku ya Wananchi 2024 | Mkapa Stadium

    Mpaka msemeee
  7. Black bear

    JamiiForums Tanzania FT: Yanga 2-1 Red Arrows | Siku ya Wananchi 2024 | Mkapa Stadium

    Kuna jitu linauwawa huku
  8. Black bear

    JamiiForums Tanzania Wauza smartphone tukutane hapa

    Nahitaji Oneplus 9pro mpya,ikiwa black itakuwa poa zaidi
  9. Black bear

    JamiiForums Tanzania Apple wanarudi walipotoka Android

    Mkuu uliipata OnePlus 9pro? Niko naitafuta hapa mpya bila mafanikio nipe chimbo
  10. Black bear

    JamiiForums Tanzania Watumiaji wa iPhone acheni ushamba na ulimbukeni

    One Plus wanatoa simu za moto Sana sema ndo hivyo hazitangazwi sana, kwangu mimi One Plus ndiyo brand yangu bora ya muda wote iPhone wanauzia jina tu ..
  11. Black bear

    JamiiForums Tanzania Watumiaji wa iPhone acheni ushamba na ulimbukeni

    Kila mtu na anachokipenda,Mimi I phone hainishawishi kabisa,ila kuna simu inaitwa One Plus 9 Pro 5G naikubali balaa soon naichukua ndiyo simu ya ndoto zangu
  12. Black bear

    JamiiForums Tanzania Wajuvi wa lugha anaejua Visawe vya haya maneno anisaidie..

    Wasaalam wajuvi wa lugha anaejua Visawe vya maneno naomba kusaidiwa -Paka -Dawati Visawe ni maneno yenye maana sawa Neno=Kisawe 1. Ardhi=Dunia 2.Ari=Nia 3.Aibu=Soni
Back
Top Bottom