Makala: Richard Manyota
KAMA uhai wa binadamu unavyojulikana upo katika viungo vipi ndivyo ilivyo kwa vyama vya upinzani nchini kwamba mwenye nia ya kuviua anafahamu pasipo shaka wapi pa kupiga na chama husika kusambaratisha.
Mfumo wa vyama hivyo ni wa mchungaji na kondoo, kazi ya adui ni...
HATA MIMI NAWEZA KUVIUA VYAMA VYA UPINZANI!
Makala: Richard Manyota
KAMA uhai wa binadamu unavyojulikana upo katika viungo vipi ndivyo ilivyo kwa vyama vya upinzani nchini kwamba mwenye nia ya kuviua anafahamu pasipo shaka wapi pa kupiga na chama husika kusambaratisha.
Mfumo wa vyama hivyo ni...
"One day your eyes will open and your mind will learn,with pain and laughter,you will know what you are."
Nakubaliana na wewe kabisa! Aaache mapepe, apende anapopendwa, utajuaje penzi la kweli kwa siku moja tu? Stupid!!!!
Nimekuwa nikikutana na watu wengi wanaotafuta wachumba kwenye mitandao ya kijamii na magazetini. Hivi ni wakweli? Je, wanapata wenzi wa kweli au wana yao jambo? Tupanuane mawazo tafadhali.
Nimesikia mara nyingi sana, kuwa kuna wanaume huwachukua wanawake wawili au zaidi na kufanya nao mapenzi kwa wakati mmoja? Hivi huwa wanatafuta nini? Ina ladha gani? Mwanamke mmoja mwenye anatoa jasho, kuchukua zaidi ya mmoja ni kutafuta nini?
Hoja yako ina nguvu sana mkuu. Mawazo yako ni sahihi, wanawake wengi wanaofanya kazi ni tatizo kabisa kwenye familia. Mwanaume ndiye mwenye jukumu la kulea familia kwa kila kitu, mwanamke ni kwa ajili ya kumwandalia na kumtunza mumewe. Ndiyo msimamo ulivyo. Pia ndiyo msimamo wa imani zote za...
Naitwa Mariam (24) naishi Moshi na niko kwenye uhusiano wa kimapenzi na mwanaume ambaye umri wake ni miaka 48, kwa maana kwamba amenizidi umri mara mbili.
Yeye anaitwa Benard. Uhusiano wetu umedumu takriban mwaka
mmoja sasa. Tulikutana Morogoro kwa mara ya kwanza, mimi nilienda huko kikazi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.