Nadhani Kuna haja Sheria ibadilishwe
Kwa trend ya ajira na changamoto iliyopo
Ili keki ya ajira iwapate wengi lazima KUSTAAFU Kwa hiari na mafao yawepo Kwa anaestaafu hata kama katumikia miaka 5 apewe alichostaili
Then serikali iweke mpango mzuri WA kuajiri
Naona kabisa wanaotaka KUSTAAFU...
Wambie ukweli acha kuzunguka zunguka uonekane una roho safi
Serikalini ni umaskini tu na uhakika wa kula
pesa hamna hadi uwe mwizi
Watu mtaani bado wana idea na mentality za ajira serikalini umetoboa
ukute apo una deni
Embu kuwa mwanaume ndugu saidia akiwa kwake
marafiki zangu mimi walishanisoma
utaskia we bitcoin njoo kuna ndoo yako moja apa
natafakari najiambia kwani nini
uyoo nkilewa sasa nageuka boss
wape kama walivooo [emoji23][emoji23]
Kesho sina ata ya maji ya kunywa. ila unajitukana maisha yanazonga [emoji23][emoji23][emoji23]
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.