Upi umri wa kustaafu utumishi wa umma?

Upi umri wa kustaafu utumishi wa umma?

BITCOIN

Member
Joined
Jun 13, 2021
Posts
42
Reaction score
126
Nadhani Kuna haja Sheria ibadilishwe

Kwa trend ya ajira na changamoto iliyopo

Ili keki ya ajira iwapate wengi lazima KUSTAAFU Kwa hiari na mafao yawepo Kwa anaestaafu hata kama katumikia miaka 5 apewe alichostaili

Then serikali iweke mpango mzuri WA kuajiri

Naona kabisa wanaotaka KUSTAAFU wapo wengi kuendelea na mishe zingine

Pia hata ushindani kimataifa utakuepo kwenye KAZI zingine kama biashara maana wenye ajira wanaona fursa sana kuliko wasio na ajira
 
Kustaafu kwa hiari ni Miaka 55
Kustaafu kwa Lazima ni Miaka 60 Wewe AMUA tu lini utastaafu
 
Mimi hata leo anayetaka nimuuzie nafasi yangu ya utumishi anipe hata ml. 10 tu inatosha ila madeni yangu ataendelea kukatwa mpaka ayamalize
 
Nadhani Kuna haja Sheria ibadilishwe

Kwa trend ya ajira na changamoto iliyopo

Ili keki ya ajira iwapate wengi lazima KUSTAAFU Kwa hiari na mafao yawepo Kwa anaestaafu hata kama katumikia miaka 5 apewe alichostaili

Then serikali iweke mpango mzuri WA kuajiri

Naona kabisa wanaotaka KUSTAAFU wapo wengi kuendelea na mishe zingine

Pia hata ushindani kimataifa utakuepo kwenye KAZI zingine kama biashara maana wenye ajira wanaona fursa sana kuliko wasio na ajira
Labda kama unamaanisha kulipwa mafao yako. Kazi unaweza acha wakati wowote ukaenda kufanya ishu zingine.
 
Back
Top Bottom