Mwanamke akikulazimisha kufanya mapenzi ana haki ya kukupa habari za ujauzito

ndege JOHN

JF-Expert Member
Aug 5, 2015
19,515
44,591
Kama wewe ulikuwa huna habari naye yeye akajileta mwenyewe ukamuonea huruma ukaone acha usimnyime ukampa anachokitaka sasa kumbe mimba ikanasa na wewe haukua tayari kuwa mzazi mwenzie.

Je, ukiamua kuipotezea tu hio mimba wewe utafute mwanamke mwingine unayeridhia awe mama watoto wako utakuwa umefanya kosa kweli?

Zingatia: Amekulazimisha yeye wewe ulikuwa umelala zako mara kaingia chumbani kwako usiku akakukalia joto likaonekana ukapiga show.
 
Ata kama kwahiyo upo tayari kuona damu yako ikiteseka kisa tu kajileta mwenyewe ? ..
 
Ungechukua tahadhari.

Ubaba hauangalii nani katongoza.

Ubaba ni kutoa mbegu uwe umebaka au ametaka yeye au ulitaka wewe.

Beba majukumu
 
Hapo inategemea na Imani binafsi maana mwingine atahisi ilikuwepo sasa akapewa game kinguvu ili apewe na hiyo mimba!
 
Kama wewe ulikuwa huna habari naye yeye akajileta mwenyewe ukamuonea huruma ukaone acha usimnyime ukampa anachokitaka sasa kumbe mimba ikanasa na wewe haukua tayari kuwa mzazi mwenzie.je ukiamua kuipotezea tu hio mimba wewe utafute mwanamke mwingine unayeridhia awe mama watoto wako utakuwa umefanya kosa kweli.
Zingatia:amekulazimisha yeye wewe ulikuwa umelala zako Mara kaingia chumbani kwako usiku akakukalia joto likaonekana ukapiga show.
Hiyo inakuwa Mimba ya Kubambikiwa. Mwenye mimba halisi kaikataa so mwanamke anajiongeza kutafuta chalii 'Boya boya' na kujifanya anataka kumpa game kumbe tayari anamatokeo mfukoni
 
Watu wanachukua manii kwenye xondom zilizotumika na bado walioacha condom kizembe wanahukumiwa kuwa baba na mahakama za juu. Sembuse wewe na joto ulisikia
 
Back
Top Bottom