Recent content by bison bison

  1. bison bison

    Movie gani unakumbuka starring kafa?

    Uuuuuuuuu
  2. bison bison

    Edward Lowassa uso kwa Uso na Rais Magufuli kwenye Jubilei ya ndoa ya Rais Mstaafu Benjamin Mkapa

    Matukio ya kijamii yamefanikiwa kuwaunganisha watu kuliko siasa
  3. bison bison

    Tukizubaa tutaanza kuabudu kanisani na misikitini huku tumezingirwa na polisi

    Basi Wewe mtoa mada hujui mipaka ya nin vizungumzwe kwe majengo ya ibada ,,, Kwenye majengo ya ibada siyo mahala pa siasa watu huenda kwa masuala ya ROHONI SEMA MAKANISANI SASA HV HAKUNA DISPLINI YA ROHO KWA SABABU WATU WAPO WANAJIWEKA WENYEWE TU KWA AJILI TUMBO
  4. bison bison

    Wanaume tunatia aibu

    Real men mary teachers
  5. bison bison

    Msaidizi wa Kampeni wa Edward Lowassa mbaroni

    It is terrible,siwale mmh
  6. bison bison

    Wilaya ya Itilima Simiyu yafukuza walimu wote wa Shule za Sekondari

    Unaonekana hata ukipewa nafasi ya kuwawakilisha wenzako utawapoteza,HV MBONA WEWE WA AJABU SANA KAMA NDO NINGEKUWA MKUBWA WAKO NINGEKUSHTAKI NA KUKUFUNGIA KAZI KAMA MAGAZETI YA MWANANCH NA MWANAHALISI YALIVYOFUNGIWA,UNATOA HABARI ZA KICHOCHEZI,UNAJUA MAANA YA NENO KUFUKUZWA? MBONA WATOA KICHWA...
  7. bison bison

    Godbless Lema: Nimemaliza Arusha sasa nashuka Mtwara

    ni vema haki kulitambua jema mwenzako atendapo,angalizo tusivae sura za kutaka kumwangusha mtu,hyo ni siasa ambayo haina mtazamo na ni watu wasio na uelekeo,siku hz watanzania wanajuaaaa! Cyo wa kudanganywa na mtu,kama ipo ,ipo tuu,na kama haipo haipo tuu hata mtu ufanyaje,ujue cku haturogeki...
  8. bison bison

    Tunakusanya Kero ambazo ungependa zisemewe Bungeni na Nje ya Bunge na Viongozi wa CHADEMA

    kwa nini stahiki zao zinapunguzwa,mfano serikali ilisema kila idara ipunguze bajeti yake kwa 50%,ok kwa logic hiyo hata secta ya elimu ktkt mchakato wa kuwaajiri walimu wapya fedha ya kujikimu ilibidi wapewe ya siku saba 50%kutoka siku 14,lakini kila sehemu inakata chake,ona sasa badala ya...
Back
Top Bottom