Faida na Hasara ya bodaboda

nzalendo

JF-Expert Member
May 26, 2009
11,742
12,035
Kwa miaka ya hivi karibuni usafiri wa pikipiki umekua ni ajira na unasaidia kurahisisha usafiri.

Kila chenye faida kina hasara.

Kwa tunakoelekea na haya mambo ya boda boda ni dhahiri upande wa hasara ni mkubwa zaidi hasa kwenye miji mikubwa kulinganisha na maeneno ya nje ya miji.

Hasara zipo
1.Kiuchumi
2.Kijamii
3.Kimaadili
4.Ki afya
5.Kiulinzi/Usalama
dn+pikipiki+1008+f.JPG.jpg

Hii ni faida kijamii
MDG--Road-safety-in-Ugand-007.jpg

Hii ni hasara kiuchumi
 
faida kubwa zaidi ni kuwahisha michepuka maeneo ya kukutana. FASTER na secure. wacha kabisa.
 
Hahahaaa faid ingine mchepuko unachukua bodaboda eneo la hatua tano unampeleka g anakuambia mwambie nauli elfu kumi buku tank yako tano yangu baadae mnagawana
 
na lazima ulipe
Hahahaaa faid ingine mchepuko unachukua bodaboda eneo la hatua tano unampeleka g anakuambia mwambie nauli elfu kumi buku tank yako tano yangu baadae mnagawana
,we ni genius sajumo.au na wewe bodaboda?ha ha ha
 
Faida za kiuchumi ni kubwa sana tatizo ni utovu wa nidhamu hususani Dsm,ukienda mikoani hali ni tofauti sana.
 
Kwa vijijini faida Ni kubwa imewarahisishia usafiri kwa kiasi kikubwa, na kutokana na miundo mbinu madhara yake ni kidogo hususani ajali.
 
Back
Top Bottom