Recent content by Bismack

  1. Bismack

    JamiiForums Tanzania Kiutani utani

    Hapana mkuu ni haki yenu wanafamilia wote
  2. Bismack

    JamiiForums Tanzania Mabachela: Ni chakula gani kigumu kupika geto?

    Kuhusu kuosha vyombo hapo ndo usiseme vyangu vinakaaga mpaka siku tatu
  3. Bismack

    JamiiForums Tanzania Mabachela: Ni chakula gani kigumu kupika geto?

    pilau linanizingua
  4. Bismack

    JamiiForums Tanzania Leo dolla imepanda dhidi ya shillingi hali ni tete ndugu zangu

    hahahhaaaaaa hatareee
  5. Bismack

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mfumo dume ndio suluhisho kwa mahusiano ya kileo

    uneongea ukweli kabisa
  6. Bismack

    JamiiForums Tanzania Kauli kwamba watanzania wana ugonjwa wa kuamini kila kinachoandikwa ktk mitandao! Rais amewakosea watanzania

    Tingatinga njiani baba pishia mbali halina breki dreva wake kelewa mataputapu
  7. Bismack

    JamiiForums Tanzania Picha bora ya leo....weka yako pia!

    Daa huyu jama anasura mbovu kweli
  8. Bismack

    JamiiForums Tanzania Kiukweli ukombozi unahitajika kwenye nchi yangu.

    Ebu angalia hata mabasi ya wanayoita mwendokasi wameshindwa kuuendesha huu mladi, Tiketi wanazo toa si electronic tena ebu angalieni kiukweli leo nimechoka.
  9. Bismack

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kujihusisha kimapenzi na vitoto vya miaka 16 hadi 22 ni tabu tupu

    mmmh mimi naviogopa sana hivi vitoto havichelewi kukuaibisha kitaa na kuonekana huna heshima kabisa.
  10. Bismack

    JamiiForums Tanzania Wanawake tuheshimni jamani tunafanya haya kwa ajili yenu na watoto wetu

    wakati nasoma nilikua naamuka asubuhi sana kwenda shule kitu ambacho wakati mwingine kilikua kikininiuma sana mana kuna wakati kunakua na baridi ila unalazimika kuamuka, nilikua najitahidi sana huku nikiamini siku nikimaliza shule adha hii itaisha kwani nitakua nimepata ninachokitafuta. Lakini...
  11. Bismack

    JamiiForums Tanzania Hivi nini sababu ya kigugumizi cha gafla?

    Hii hali hua inamtokea rafiki yangu mara mojamoja sasa hua najiuliza mbona mara nyingi hayuko hivo, Tafadhali mwenye kufaham chanzo anifahamishe.
  12. Bismack

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kitu gani hufanya mwanamke ampende mwanaume asiye na kitu na kuwakataa matajiri?

    Hahahaaaa hivi hii bado ipo kweli ? mwanamke amkatae tajiri kweli ? cjaona
  13. Bismack

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mapenzi na vituko vya chumbani!

    jamani subilini tumuage masogange mama wa msambwanda R I P
  14. Bismack

    JamiiForums Tanzania Watoa povu

    Mmmh kumbe sahivi na wanaume tuanze kupaka kipodozi kama wakongoreze
  15. Bismack

    JamiiForums Tanzania Yahusu kufuta kauli

    Hata ambao wangemfunga kengele wakimkalibia tu wanatugeuka na kumsifia.
Back
Top Bottom