massimu jr
JF-Expert Member
- Oct 13, 2016
- 542
- 595
Ngoja tuone
bongo watategeana kujitokezaUko ni ughaibuni mkuu..ikitokea bongo lazima watu wavunjwe miguu
hujakosea upo sahihi, andaa bango tuNimekosea njia...
Hapana mkuu ni haki yenu wanafamilia woteHivi mimi na familia yangu tukiandamana nyumbani kwangu nitakuwa nimefanya kosa?
mkuu wewe sio mtanzania??Watanzania daini katiba mpya na tume huru vinginevyo mtapata tabu Sana