Recent content by bird

  1. B

    Nisaidieni jamani

    Me nadhani tatizo kubwa lililopo ni wewe kutopata muda wa kutosha kuwa na mumeo na yawezekana ni m2 pilika nyingi so akitoka asubihi kurudi kwake saa tano ucku xo Jaribu kumshawishi muwe mnatumia cku za wikend kuwa pamoja na kutoka kwenda sehemu tofauti na hapo nyumbani hii itakusaidia wewe kuwa...
  2. B

    Naomba msaada wenu wana JF

    Asante sana li sheng cos nilienda kupima na kukutwa na UTI so nime2mia dawa na niko poa kabisa
  3. B

    Wasanii 5 Wa Tanzania Wenye Pesa

    Hivi kumbe Hasheem nae ni msanii kumbe kweli me sijui kiswahili jamani
  4. B

    Roho inaniuma balaa, nimekumbuka hela zangu DECI

    Ucjar mkubwa mwakani wanakuja na mavuno so jiandae kuzipeleka tena ili uvune mara kumi zaidi
  5. B

    Show aliyopiga rihana akiwa matiti nje nje

    Rihanna wa VIGWAZA huyo na ww jamaa mbona mmbea sana au uliona ukidanganya ndo wa2 watakimbilia kusoma post yako?
  6. B

    Kubadilishana vituo vya kazi, Kada ya Kilimo

    Kahama mashamba yameisha nn mkubwa so unataka uyafuate mbeya?
  7. B

    Naomba msaada wenu wana JF

    Naomba mniambie dalili za UTI na tiba yake kwa ujumla kwani nahisi kama nna huo ugonjwa, Nahisi maumivu kama nna vidonda hivi ndanii ya uume wangu, Maumivu hayo nayapata kwenye mshipa mkubwa uliopo nyuma ya uume wangu na pia nimekuwa nikipata haja ndogo mara kwa mara na nikienda TOILET simalizi...
Back
Top Bottom