Nisaidieni jamani

Hujatulia.
Jamani naombeni masses wenu wanajf I had a bf ambaye tulikuwa in relationship for 4 years ila we couldn't make it tutaachana nikaolewa na mwanaume mwingine,
The problem is I can't forget my ex boyfriend haipiti siku sijamkumbuka,I always dream of him,,hatuna mawasiliano na wala siyataki,I jus want to love my husband I think what I'm doing isn't fair for him.....
Ni ulimbukeni tuu.
 
Sijakuuliza kama alikuowa, nimeuliza mna mtoto naye? kama huna Mtoto naye maana yake hakuna bond hapo inayokusukuma wewe kuendelea kumuwaza yeye, close Gadget n move on. Don't kiss the wind unaweza wewe ukawa unamuwaza kumbe mwenzako hajawahi kukuwaza na aliye naye sasa anamtosheleza labda kuliko ulivyokuwa wewe.

hatuna mtoto,
 
Jamani naombeni masses wenu wanajf I had a bf ambaye tulikuwa in relationship for 4 years ila we couldn't make it tutaachana nikaolewa na mwanaume mwingine,
The problem is I can't forget my ex boyfriend haipiti siku sijamkumbuka,I always dream of him,,hatuna mawasiliano na wala siyataki,I jus want to love my husband I think what I'm doing isn't fair for him.....

utoto unakusumbua,ukikuwa utaacha
 
Mbona fazaa wewe ulipenda kabla ya ndoa?
SAUDARI , sijakataa nilipenda kabla kuoa, lakini niliye mpenda ndo nimemuoa, na kabla ya mimi kumpenda nilisha tuma jeshi la kike la family yangu kuhakisha pale napo penda hakuna kasoro.

Afu weka hii kichwani kwako, sio kila mmoja anayependa anazubaa mitaani na mwanamke...kama wanavyo fanya wengine.

Sisi wengine, tukisha penda tunaweka wake zetu majumbani, chap chap...sababu ni faida kwako na faida kwa mwanamke wako, ndo mana ndoa zetu hazina kasoro :poa
 
Duh! wewe unaonekana unajali sana mila na desturi zetu.
SAUDARI , sijakataa nilipenda kabla kuoa, lakini niliye mpenda ndo nimemuoa, na kabla ya mimi kumpenda nilisha tuma jeshi la kike la family yangu kuhakisha pale napo penda hakuna kasoro.

Afu weka hii kichwani kwako, sio kila mmoja anayependa anazubaa mitaani na mwanamke...kama wanavyo fanya wengine.

Sisi wengine, tukisha penda trunaweka, wake zetu majumbani chap chap...sababu ni faida kwako na faida kw amke wako ndo mana ndoa zetu hazina kasoro :poa
Wengi siku hizi wanakutana disco, fiesta, sherehe, baa n.k na kuondoka pamoja siku hiyo hiyo!!!!!!!!!!!!
Baadae wanajitangazia mume na mke.
 
Usichukie na kuhuzunika.
Asante,ila nilichohitaji ni ushauri na wala Sio matusi na kejeli waweza pita tu taratibu Sio lazima uchangie,
Ni mtazamo wangu tuu na kumbuka nie ni NJEMBA kama huyo uliye naye hapo home ati.
 
SAUDARI , sijakataa nilipenda kabla kuoa, lakini niliye mpenda ndo nimemuoa, na kabla ya mimi kumpenda nilisha tuma jeshi la kike la family yangu kuhakisha pale napo penda hakuna kasoro.

Afu weka hii kichwani kwako, sio kila mmoja anayependa anazubaa mitaani na mwanamke...kama wanavyo fanya wengine.

Sisi wengine, tukisha penda tunaweka wake zetu majumbani, chap chap...sababu ni faida kwako na faida kwa mwanamke wako, ndo mana ndoa zetu hazina kasoro :poa

fazaa mbona juzi ulifumniwa na kidenti cha shule, tena ulikua umemfunga farasi wako nje ya nyumba ya wageni.
Halafu ulivyotolewa mkukumkuku alikua umevaa hizo nguo hapo kwenye AVATAR yako pamoja na kofia.
 
Me nadhani tatizo kubwa lililopo ni wewe kutopata muda wa kutosha kuwa na mumeo na yawezekana ni m2 pilika nyingi so akitoka asubihi kurudi kwake saa tano ucku xo Jaribu kumshawishi muwe mnatumia cku za wikend kuwa pamoja na kutoka kwenda sehemu tofauti na hapo nyumbani hii itakusaidia wewe kuwa karibu xana na mumeo na kumsahau huyo Ex wako cos unaonekana unapenda sana kutoka out bt mumeo hana muda wa kutoka na muda wake mwingi unaishia kutafuta pesa na kusahau kama ana familia nyumbani
 
jaribu kujiweka karibu na mumeo na kufanya mambo yenu na kujiweka bize na kuepuka kukaaa peke yako na kuacha kutembelea yale maeneo uliyo kua unapenda kwenda na xboy wako
 
Duh! wewe unaonekana unajali sana mila na desturi zetu.Wengi siku hizi wanakutana disco, fiesta, sherehe, baa n.k na kuondoka pamoja siku hiyo hiyo!!!!!!!!!!!!
Baadae wanajitangazia mume na mke.
Kila mtu anatazama type anaye ipenda, mimi lazima nitazame vitatu.

1-Dini yake

2-Uzuri wake

3-Mali yake.
 
fazaa mbona juzi ulifumniwa na kidenti cha shule, tena ulikua umemfunga farasi wako nje ya nyumba ya wageni.
Halafu ulivyotolewa mkukumkuku alikua umevaa hizo nguo hapo kwenye AVATAR yako pamoja na kofia.
SAUDARI , matatizo we unandika huku unaota :biggrin1:
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom