Recent content by Bintikisura

  1. B

    Kuoa mwanamke mwenye mtoto ni shida

    Mpende huyo mtoto huwezi jua kesho wewe humpendi huyo mwanamke ungempenda usingetaka akae mbali na mwanae mbona wako anakaa na mama yake.
  2. B

    Lowassa kapita dirishani kwangu

    Magufuli kazijenga au kodi zetu
  3. B

    Mgombea Urais kwa tiketi ya UKAWA Edward Lowassa, akiwa kwenye daladala leo asubuhi

    Hongera wewe mzima ambaye una mamlaka na uhai wa mtu
  4. B

    Wadada kuweni wasafi jamani!

    I mean ukijiingizia vidole kwa ndani kuna bacteria wapo kwa ajili ya ulinzi unawaua hivyo basi ni rahisi kupata maambukiz unachotakiwa kufanya ni kujisafisha kwa juu na maji safi na Salama na kubadili nguo za ndani kwa wakati na zisiwe mbichi
  5. B

    Wadada kuweni wasafi jamani!

    I mean ukijiingizia vidole kwa ndani kuna bacteria wapo kwa ajili ya ulinzi unawaua hivyo basi ni rahisi kupata maambukiz unachotakiwa kufanya ni kujisafisha kwa juu na maji safi na Salama na kubadili nguo za ndani kwa wakati na zisiwe mbichi
  6. B

    Tume ya Taifa ya Uchaguzi(NEC) yatoa Ratiba rasmi. Uchaguzi kufanyika Oktoba 25, 2015

    Mwenzenu naona tarehe 25 October naona kama hii tarehe ipo mbali sana nina hamu ya kufanya maamuzi sasa kwa ajili ya faida ya Watanzania ni kizazi changu hebu tume iliangalie hili la tarehe warudishe nyuma
  7. B

    Wadada kuweni wasafi jamani!

    Kitaalumu haturhusiwi kujiingizia vidole huyo atakuwa ana matatzo au habadilishi nguo
  8. B

    Wasanii kumuunga mkono Magufuli

    Na wewe kimekuuma nn mpaka kureply
  9. B

    Lowassa, wapo wapi wabunge 50 na wenyeviti 15 waliokufata?

    Wajiondoka wote nani hatatupatia taarifa za bao la mkono na mikakati tumeacha mamluki wetu kule
  10. B

    Tukikosea 2015 tutajuta milele! Nchi itazama

    Yaani nawaza hao watu wakishinda tena yaani tutakuwa utumwani tupambane tuwaondoe na mfumo wao wa unyonyaji tatzo sugu la ajira kwa vijana, umeme ndo kabisa utafikiri tunaishi jangwani wakati tuna vyanzo vingi tuna gase,mito,maziwa,bahari,mabwawa lakini ccm wanajitoa ufahamu,suala wajawazito...
  11. B

    Nimezinduka naenda UKAWA

    Karibu sana dear
Back
Top Bottom