Abou Saydou
JF-Expert Member
- Dec 1, 2014
- 2,948
- 2,112
Karibu
Kaka MUSSA ALLAN Naimani na Lowasa ikitokea ya kutokea akapoteza mie ndio mwisho wangu kupiga kura....Nafunga sasa kwa maombi hadi tar 26/10.Naimami Mungu atasikia sala zangu
#Lowasa
Karibu kamanda
Ccm wamesema kuwa wana ukawa wote ni wanywa viroba na gongo..
Njoo tuwaadhibu magamba
Karibu mkubwa
Waambie wanaCCM wote nimezinduka nimeenda CHADEMA/UKAWA na sitarudi tena CCM nabaki UKAWA. Tuonane Oktoba 25
Mkuu nipe basi zile ripoti....
Bila shaka uliona mapokezi ya Mwanza. Nilihudhuria msiba kijijini haswaa jimbo la Nyang'wale Geita nikakumbana na sticker za Lowassa zimevaliwa shingoni mazishini nikabaki kama avatar yangu😕 Vijana UKAWA wazee nusu kwa nusu CCM na UKAWA.
Asante sana. ...
Vipi jimbo la Bunda hali ikoje? Tyson anapigika au?
Asante sana. ...
Vipi jimbo la Bunda hali ikoje? Tyson anapigika au?
sasa unaitoa sisiemu alafu unaweka makapi ya sisiemu ndo nini?Agenda ni moja tu!
Kuitoa CCM madarakani.
Mkuu karibu kwenye timu ya ushindi!!!!!
Huko sijabase sana,Kahama kwa Lembeli mpinzani wake Kishimba CCM ameleta pikipiki anauza laki tano tu nifah:sly::sly:😱 changamkia kabla dili halijaisha mama.
Namesoma magazetini kuwa robo tatu ya viongozi qa chadema wamepishana na esther bulaya mlangoni.
Ngoja tuone itakuwaje.
Mchina aka Sunlg
Umesoma magazetini?? kweli nyakati hizi makazeti kwako ni chanzo stahiki cha habari??Namesoma magazetini kuwa robo tatu ya viongozi qa chadema wamepishana na esther bulaya mlangoni.
Ngoja tuone itakuwaje.
Aisee, changamkia fursa hiyo mkuu.
Mimi huku jimboni kwangu sijui kitakuja kituko gani.
Najuta kuwa na kadi moja ya chama😛
Umesoma magazetini?? kweli nyakati hizi makazeti kwako ni chanzo stahiki cha habari??