binafsi nikikumbuka vituko vya wabunge wa ccm bungeni sina hamu na ccm kamwe. kazi yo tu ndiooo. watanzania tukiirudisha tena ccm tutajuuta...
Kwahiyo point yako ni nini? Tuchague chama gani?Mpaka bunge linavunjwa lowasa naye alikuwa kundi hilohilo. Kashiriki kuwaumiza watanzania, hastahili kuchaguliwa.
Mimi nasubiri October tu nikate kiu yangu kwa kuchagua kiongozi wangu makini Lowassa.
Baada ya hapo nitakuwa na amani huku nikiwaombea CCM Mungu awape moyo wa ujasiri waweze kutuachia nchi yetu salama.
Hakuna jipya litakaloletwa na UKAWA. Miaka mitano watakuwa bize kuunda Serikali ya MAJIMBO na kugawana Vyeo. Tutajuta kuifahamu UKAWA. Waliochangia Kampeni nao watakuwa bize kujilipa pesa zao! ACHENI MCHEZO VIJANA.Kuichukia CCM ni sawa na.kumkataa Baba yako Mzazi kwa kuwa mlevi na kisha.kumchagua jirani awe baba yako.
Kwahiyo point yako ni nini? Tuchague chama gani?
Kila kitu ndiooo, hata ujinga. Tumeumia vya kutosha. Tumejaribu vya kutosha, CCM ndiyo chanzo cha umaskini wetu.Mbona mnajisahaurisha? Nikweli kwamba miaka 50 hakuna kilichofanyika, mmesahau enzi za bidhaa hizi mfano viberiti, sabuni, nguo za kiume na za KIke ziliuzwa na watanzania kwa njia ya magendo?
Shule hazikutosha, barabara hazikuwepo kiasi hiki leo mmependeza hadi mtandao hii nayo hazikuwepo watu mmesahau? Au wote ni watoto wa jana lkn pia hamna wazee mkawauliza nchi ilikuwaje enzi hizo?
ccm ndo mpango Mzima wa haya maendeleo tuache mihemko isiyo na maana tupige Kazi.
Mbona mnajisahaurisha? Nikweli kwamba miaka 50 hakuna kilichofanyika, mmesahau enzi za bidhaa hizi mfano viberiti, sabuni, nguo za kiume na za KIke ziliuzwa na watanzania kwa njia ya magendo?
Shule hazikutosha, barabara hazikuwepo kiasi hiki leo mmependeza hadi mtandao hii nayo hazikuwepo watu mmesahau? Au wote ni watoto wa jana lkn pia hamna wazee mkawauliza nchi ilikuwaje enzi hizo?
ccm ndo mpango Mzima wa haya maendeleo tuache mihemko isiyo na maana tupige Kazi.
Ndio hivyo Bintikisura...mabinti tuamke sasa n kuukataa utawala dhalimu wa CCM.
Uloi nga mâché68;13708321 said:Hakuna jipya litakaloletwa na UKAWA. Miaka mitano watakuwa bize kuunda Serikali ya MAJIMBO na kugawana Vyeo. Tutajuta kuifahamu UKAWA. Waliochangia Kampeni nao watakuwa bize kujilipa pesa zao! ACHENI MCHEZO VIJANA.Kuichukia CCM ni sawa na.kumkataa Baba yako Mzazi kwa kuwa mlevi na kisha.kumchagua jirani awe baba yako.