Lowassa, wapo wapi wabunge 50 na wenyeviti 15 waliokufata?

Lowassa, wapo wapi wabunge 50 na wenyeviti 15 waliokufata?

Tuliaminishwa kuwa lowassa ataondoka na wabunge hamsini pamoja wenyeviti mikoa kumi na tano mbona hatuwaoni au wamekutosa?

Kwani Lowasa si mlisema ni kapi, ya nini kulifuatilia tena?
Tuacheni na Rais wetu ndo tushaamua hivyo.
Nanyi bakini na Magufuli wenu baadae mmpe urais wa chama.
Maana Rais wa Nchi ni Lowasa.
 
Hata mimi nilikua nakukubali sana.
Lakini tokea nijue na wewe ni mmoja kati ya waliopopomika, wajinga na wasiojielewa ambao bado wanalikumbatia papai bovu CCM kidogo nimepunguza %.
Ila unanikera hapa tu, kwingine fresh.

Dah! Leo Unaniambia Kipenzi Chako Nime POPOMIKA? Nitaki Radhi Upesi Sana :smiling::smiling::smiling::smiling::smiling::smiling::smiling:.
 
Tuliaminishwa kuwa lowassa ataondoka na wabunge hamsini pamoja wenyeviti mikoa kumi na tano mbona hatuwaoni au wamekutosa?
Hujui lolote,Lowassa ameondoka na wabunge Wengi pamoja na wenyeviti Wengi,ila kimkakati wanabakia ndani ya CCM kimwili tu ili kukivuraga chama kweli kweli.Imekula Kwenu unaye dhani ndiye siye na umdhanie siye ndiye!
 
Tuliaminishwa kuwa lowassa ataondoka na wabunge hamsini pamoja wenyeviti mikoa kumi na tano mbona hatuwaoni au wamekutosa?

Subiri Press conference ya Sallum Mwalim atakuja na mipasho mingine ya Kizenj
 
Gentamycine ninavyofikiri wewe bado ni kijana, yaani bado hujafikisha umri wa uzee.
Ni vema ukapenda mabadiliko. Hata kama hupendi UKAWA basi shabikia tu hata ACT-WAZALENDO au cck au Tadea. Japo mimi mwenyewe nakubali ndani ya ccm wapo waadilifu na wazalendo wengi kama vile Mwigulu, magufuli nk lakini waadilifu wamezungukwa na fisi wengi.
So chama kukaa muda mrefu sana matokeo yake kunakuwa na kiburi nakujisahau sana. Lakini wakiona kama kuna vyama mbadala na wanaweza kushindwa kwenye chaguzi is obvious wanakaa kwenye mstari.

By. Popoma

Lakini utambue Chadema imewasaidia CCM kupumua. kwa muda mrefu walikuwa wakijishauri jinsi ya kuyavua magamba lakini yamejivua yenyewe kiulaini na yote yamepata hifadhi Chadema. Kuna hatari ya mnyukano ndani Chadema baada ya uchaguzi na dalili zimeanza majimboni kuyakana magamba waziwazi. Mkumba, Bulaya, Mahanga wanahaha
 
Sisi CCM A, yaani Team Lowassa, maamuzi yetu tutayachukua siku ya kupiga kura tu. Kisiasa tulikuwa CCM, Sasa kiukweli sote tupo nje tukitafuta mabadiliko. CCM na viongozi wachache hadi wajukuu sasa tuwapumzishe. Sisi tumekuwa wa mwisho Africa kuleta mabadiliko ya haki na ukomavu Kisiasa.
Alipo wapo, japo kimya
 
hahahhahahha na wa zitto wamebaki kama wa Lowassa? eti wanamaliza chama ndani kwa ndani hahahahaaaa Lowassa na Zitto wameingizwa mjini
 
alikuwa anajitekenya mwenyewe na anacheka mwenyewe...
 
Gentamycine ninavyofikiri wewe bado ni kijana, yaani bado hujafikisha umri wa uzee.
Ni vema ukapenda mabadiliko. Hata kama hupendi UKAWA basi shabikia tu hata ACT-WAZALENDO au cck au Tadea. Japo mimi mwenyewe nakubali ndani ya ccm wapo waadilifu na wazalendo wengi kama vile Mwigulu, magufuli nk lakini waadilifu wamezungukwa na fisi wengi.
So chama kukaa muda mrefu sana matokeo yake kunakuwa na kiburi nakujisahau sana. Lakini wakiona kama kuna vyama mbadala na wanaweza kushindwa kwenye chaguzi is obvious wanakaa kwenye mstari.

By. Popoma

We bado hujashtukia dili. Utasubiri sana. Jamaa wana roho ngumu sana.
Wana CCM wengi hawahamii upinzani mpaka wafika umri wa Lowassa, Lembeli,Mkongoro Mahanga, Mgeja, Guninita etc.
Huo ndo umri wao.
Ukiona kijana anakimbilia huko ujue ama amekatwa au yuko mbioni kukatwa kama yule dada wa Bunda.
 
Back
Top Bottom