Recent content by Binti Magufuli

  1. Binti Magufuli

    Mahakama yapokea kisu kinachodaiwa kumchinjia mdogo wake Bilionea Msuya

    Haki ya annate na yule mwanae itapatikana tu hata ichelewe vipi. Hata atumie hela vipii damu ya yule dada na mauaji yale ya mateso ya kuchinjwa kama kuku haitapotea kamwe
  2. Binti Magufuli

    Wakongwe Forum

    Yeah climate change is real Let's advocate for climate justice
  3. Binti Magufuli

    Wakongwe Forum

    Yeah my dia Na ww ulikuwaga nan vile?
  4. Binti Magufuli

    Wakongwe Forum

    Long time Kitambo sana
  5. Binti Magufuli

    Mabosi huko maofisini mkila msitusahau na sisi

    sio kwa mapovu baadh mliyotoa
  6. Binti Magufuli

    Huu ni zaidi ya mkosi, wanaume nimewanyooshea mikono juu!

    Muache alie hapo aache kufanya yake atachelewa
  7. Binti Magufuli

    Mabosi huko maofisini mkila msitusahau na sisi

    Mabosi shikamooni, Mnakuwa kwenye mashirika makubwa tu, marupurupu yapo ya kutosha ila mnakula peke yenu....kwa nini mkila na vipofu mnawashika mikono? Wataabikaji na wafanyaji kazi wa kweli ni sisi, ripoti zenu zinategemea sana sisi tulichokifanya yaani kwa maana nyingine wavuja jasho ni...
  8. Binti Magufuli

    Tulio in deep love kipindi hiki tujuane

    Najua unajua jamaa ni majisifu flani hivi kuwa makini bidada shogare. Jamaa ni mvunja mioyo anajitilisha huruma kwa namna hiyo ameshapita na wengi jamii. Sikio la kufa endelea kwa kuwa husikii. Nasubiri omo Sitajibu lolote msiniulize tafadhali
  9. Binti Magufuli

    Mkesha wa Mwaka Mpya 2019 : Upo wapi na nani na unafanya nini?

    Niko najipikilisha hapa Usiku kucha.....mabites kama yote. Mwaka ulikuwa mgumu sana ila kwakuwa bado napumua ngoja niufunge kwa kula vizuri na kumshukuru Mungu Sent using Jamii Forums mobile app
  10. Binti Magufuli

    Manyoni, Singida: Ajali yaua wafanyakazi watano wa Wizara ya Kilimo

    duh poleni wafiwa , hii ajali haijabakisha hata wa kuleta habari
  11. Binti Magufuli

    Wanahitajika vijana wa kazi ,kansasy city(Marekani)

    @MAXMELLO Invisible hebu fanyeni utafiti wa hizi habari ili muwasaidie vijana wa tanzania kutambua uhalali na uwepo wa hizi nafasi tafadhali.
  12. Binti Magufuli

    Umewahi kutembelea familia yenye toto lililodekezwa?!

    si mna wa kwenu? waleeni kikamanda. au zaeni wa kwenu mlee mtakavyo kumbukeni watoto hawafanani, na kuna umri hata uchape vipi mtoto hasikii. mnaweza kuwalaumu wazazi ila wengine watundu mnoo
  13. Binti Magufuli

    Ukara, Ukerewe: Kivuko cha MV Nyerere chazama, miili 229 ya waliopoteza maisha imeshaopolewa!

    Walimuokoa akiwa eneo gani? Yani umbali gani kutoka kwenye eneo la ajali?
Back
Top Bottom