Habari za mchana wana forum.
Nisiwachoshe na maandishi mengi; mimi ni kijana ambaye nina uzoefu kidogo na miti na matumizi yk nipo dsm kwa sasa kwa mapumziko ya mwezi hapa nilikuwa nataka mjasiriamali wa kutengenza nae sabuni za kuoga zenye ubora kuizida zoazoa na pyaar fomula ipo na na uhakika...
Stupid as always mr vinci. Huo utofauti ni upi labda utueleze na pia yesu hakuwa myahudi mana nasaba ya mtu hufuata kwa baba sasa baba yake na yesu ni nani?
Habari za saa hizi wanajamii
Ndugu yenu hapa katika harakati za kimaisha nimepata bahati ya kutembea sana kanda ya magharibi(kigoma, katavi. Njia za maji upande wa rukwa) kwa shughuli za ujasiriamali lkn katika pitapita zangu nikatokea kupenda sana dawa za asili na faida zake.
Hivyo...
Ndugu yenu sina mengi ya kuaandika nilikuwa na haya machache ya kusaidiwa<br />Mimi ni mjasiriamali na pia napenda kilimo sana lkn sina uzoefu wa muda mrefu<br />Ninataka kubadili makazi ya biashara zangu kitoka mkoa huu nilipo kwenda mkoa mwingine nakatika mkoa ambao naona akili yangu...
Ndugu yenu sina mengi ya kuaandika nilikuwa na haya machache ya kusaidiwa
Mimi ni mjasiriamali na pia napenda kilimo sana lkn sina uzoefu wa muda mrefu
Ninataka kubadili makazi ya biashara zangu kitoka mkoa huu nilipo kwenda mkoa mwingine nakatika mkoa ambao naona akili yangu inapatamani ni...
Ndugu zangu sina mengi nilikuwa naomba msaada ama kuna mtu anaweza kunisaidia jinsi ya kutuma hook sms za ****pesa
Zawadi nono ipo
Madhumuni c kutapeli bali nikupoza deni ni buy sometime
Habari za saa hizi wapendwa
Leo nataka nitoe habari bicha kama ifuatavyo
Msataafu- hallow Mh raisi hujambo
JPM- CJAMBO MKUU HABARI ZA MAPUMZIKO
Mstaafu- ebhana bwa mdogo nimesahau ugoro wangu hapo kwenye draw ([emoji23][emoji23])
JPM- HHHH MKUU HUJAACHA MATANI YAKO MZEE
Mstaafu- hapana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.