Baba Hellen
JF-Expert Member
- Jul 2, 2012
- 763
- 91
good wazalendo
Ukiwaambia
chadema hilo kutekeleza ni wazito kama nini! Inawezekana wanasubiri
waseme vyombo vya habari vinapendelea ccm! Cdm kwa ubunifu nje ya siasa
ni sifuri. Waambie m4c na kukusanya michango yake. Hivi chama kikubwa
kama cdm kinashindwa hata miliki gazeti au fm radio ,ni aibu!
kutokana na mambo ya siasa yanavyokwenda nashauri chadema tuwe na gazeti tinalomiliki kama chama.
nimeona niyaseme haya mapema ili kuepusha mitafaruku huko mbele.
kwa sasa tunatumia gazeti la manachama tena mwenyekiti wa taifa sio mbaya ila tulipofikia inabidi tuwe na la chama.
kwa wenye mtazamo chanya wanaelewa sababu lakini pia natambua uwepo wasioelewa sababu na uzuri wa hili.
kazi kwetu kulitekeleza
mkuu usifanye utabiri,lini waliomba kusajili gazeti wakakataliwa? Tuache kutumia hisia zaidi.Jambo usilolijua ni kama...., haya gazeti hilo magamba watakubali bwana Lukololo alipe usajili? Jipeni muda kiu yetu itatibiwa, ni jambo la muda,
usitumie hisia mkuu, chadema watangaze kwa umma dhamira yao hiyo!Wazo nzuri lakini kumbuka watoa vibali na hao wanaoipinga CHADEMA kwa nguvu zao zote kwa iyo si rahisi kwa wao kutoa kibali kwa media itakayobainika kuwa ina mlengo wa KICHADEMA CHADEMA.