Nimesoma huu uzi, umenikumbusha mbali sana. Majubwa alikuwa Head Master kipindi hicho. Nimekulia hiyo mitaa, marehemu mzee wangu Mwl Kwigeza akifundisha Milambo miaka hiyo.
Kama mama yeyote yule, I've never felt anything about Rwanda. Hizi misconception nimezisikia mara nyingi sana, mara Bahima empire, mara ni kawa Wayahudi n.k, binafsi sijawahi kushudia mambo hayo.
Angalia attachment hii, ni excel worksheet jinsi TRA wanavyokokotoa kodi. Kwa magari yote, ya zaidi ya miaka kumi na chini ya miaka kumi.
Pia sio kweli kwamba gari yenye umri zaidi ya miaka kumi gharama ni kubwa zaidi, matter of fact ni ndogo. Mfumo wa sasa ulioanza mwaka jana Sept ni tofauti...
WANAOPINGA KUONDOLEWA KWA KIKWAZO CHA UMRI WA URAIS WATOE HOJA
Sabatho Nyamsenda
Labda nitaje mapema kabisa kuwa mimi naupinga mjadala huu kwa lengo na namna unavyoendeshwa, aina ya watu wanaoushadadia, na baadhi ya hoja zinazotolewa. Lakini sipingi kuondolewa kwa vikwazo vya watu kugombea...
January atakuwa na miaka 41, hata hivyo amesema hautaki uraisi. Hivi mkuu, kwani si ni hivi punde tutaanza kuandika katiba mpya? Katiba hawaandiki wabunge.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.