Recent content by Bihawana

 1. B

  Tumaini Makumira university vipi?

  Jamani kama kuna mtu anafahamu hawa Tumaini University Makumira wanatoa lini majina ya waliochaguliwa second round atujuze maana nimechoka kuangalia profile yangu TCU ikiwa imeandikwa Waiting for Approval. Hawa jamaa wapo serious kweli? siku za vyuo kufunguliwa zimeisha sana na wanafunzi...
 2. B

  Call for interview stamico

  Ni kweli mkuu nakumbuka kwenye tangazo lao walisema mtu unaweza apply nafasi mwisho mbili kama una fit.Natumai hao wali apply kwenye post mbili tofauti
 3. B

  Bajeti ya serikali ya mwaka 2014/2015 ipunguze vifo vya kina mama

  Ndugu wana Jamii Forum Tafadhali shiriki nasi katika kutia shinikizo na msukumo ili serikali itenge bajeti ya kutosha mwaka 2014 na kufikia malengo yake kama ilivyo ahidi. takwimu zinaonesha kuwa zaidi ya wanawake 8700 nchini Tanzania hupoteza maisha kila mwaka kutokana na matatizo ya uzazi...
 4. B

  Ajali: Inahusisha mabasi la Osaka na Meridian (Dar-Arusha)

  Dah nimeshtuka kwasababu dogo wangu nimemsindikiza leo kwenda Muheza shule! Ila siyo hayo mabasi. Poleni nliopatwa na maswahibu Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 5. B

  Ahsante Mungu, ushindi wa Lema umezima mikakati yote CCM kuibomoa CHADEMA

  Kati ya siku niliyoshinda kwa raha ni leo, ushindi wa kamanda na mpiganaji mwezetu Lema ni ushindi wa watanzania wote hususani wapenda mabadiriko. Tuungane kuutimua uongozi wa magamba. Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 6. B

  R.i.p.

  Absolutly nothing wrong with that answer Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 7. B

  Tuchangie maoni juu ya uboreshaji wa Elimu ya Awali

  HakiElimu nimeona wameanzisha kampeni ya kuboresha elimu ya awali, Binafsi naona hili ni suala la kizalendo sana hasa ukiangalia elimu yetu inavyokwenda mrama, mpaka inafikia watu wanamaliza std vii hawajui kusoma na kuandika. Tuchangieni mawazo jamani kwenye mitandao yao, nimeiona hii page ya...
 8. B

  Beach in Japan ... woww..

  vipi wakuu hapa beach wanauza pia urojo kama wa koko beach?yaani mihogo, madafu, urijo urojo hahahaaaaaaa.kweli duniani sisi tutabaki kuwa wasindikizaji.
 9. B

  Bunge la bajeti 2011/2012 na yatokanayo

  vipi kuhusu mafuta,je tunaendelea kuumia au wamepunguza kodi?mafuta ya magari
 10. B

  Namzimia sn huyu

  huyu si ni mke wa Sajuki?nasikia alipata ajali akakatwa mguu, aliolewa akiwa na watoto wawili tayari na alikua amezaa na wanaume wengine
 11. B

  Elections 2010 Mikoa ya Kuamshwa 2015

  na dodoma jamani inahitaji kuzinduliwa jamani. tupo tayari kuichangia chadema kupiga operation kadhaa mikoa hii ikiongonzwa na rais wetu wa 2015, dr slaa
 12. B

  Udini CCM? - viongozi waislam ni 75

  CCM ya leo siyo siri ni wa dini, hata apointments mbalimbali serikalini siku hizi ni dini flani, that is not health for the country's unit.
 13. B

  University of Dodoma - Photos !

  hapo ndipo watu makini wanakubali kuwa JK kwa hili na chuo kikuu Dodoma alicheza. chuo hichi kimebadili kabisa mji wa Dodoma.
Top Bottom