Kwa muda mrefu sasa nimekua nikishangaa huyu reporter wa ITV mkoani Mara akiripoti habari za mkuu wa mkoa tu kana kwamba ni msemaji wa huyu mheshimiwa. Niliposhangaa sana nikajishangaa, kwanini nashangaa wakati hata mabosi wake wa hapo mikocheni wameona ni sawa tu!
Kama na leo Hili litajirudia...
Wadau ni vyema unaposema bank fulani ni nzuri basi uweke wazi na riba yake ili ueleweke vizuri. Mimi nina experience na ACB. Riba yake ni 11% kwa mkopo wa miezi 6. Kwa mwaka ni 22% ila huwa kuna vigharama vingine ambavyo ukijulimsha vizuri unakuta inafika 25%. Mtu anayekushauri usikope ujue sio...
Heshima kwenu wana jamvi,
Nahitaji kutengeneza mifuko yenye jina la biashara yangu kwa ajili ya kuwekea bidhaa za wateja wanaponunua vitu dukani kwangu. Naomba mnisaidie mawasiliano au sehemu ambayo naweza kupata huduma hii.
Natanguliza shukrani.
Yaani utazani tulikua wote. Hawa jamaa suti zao ni majanga na kikazi Hamna talents kabisaaaaaaa.
Hata hivyo nawaheshimu maana kuna watazamaji huwa wanaangalia futuhi, hapo ndo ninapojua kwamba binadamu tunatoutiana saaaaana.
Inawezekana mkuu umeshamaliza hii project ile kwa faida ya wengine pia, options alizotaja mtoa mada zinakubalika isipokua tu ni lazima utambue kuna Fundi sio msemaji wa mwisho. Kama una architectural drawings tayari ni lazima upate na engineering drawings.
Heshima kwenu wakuu,
Kwanza ningependa kukiri kwamba Mimi ni Mgeni sana humu jamiiforum lakini nawaheshimu sana wadau na naamini nitapata ushirikiano wa kutosha kutoka kwenu.
Mimi ni mfanyabiashara Mdogo na nina frame ya biashara katika moja ya miji ya tz. Wakati naanza biashara nilifata...
Nimejaribu kuangalia vizuri na nimeona baada ya majambazi kufyatua risasi na kuondoka na bag, Mtu aliyekua ndani ya geti alinyanyuka na wa nje pia alinyanyuka. Nashindwa kuelewa huyo aliyeuawa ni yupi?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.