Reporter wa itv-mara

bigzii

Member
Nov 15, 2015
32
6
Kwa muda mrefu sasa nimekua nikishangaa huyu reporter wa ITV mkoani Mara akiripoti habari za mkuu wa mkoa tu kana kwamba ni msemaji wa huyu mheshimiwa. Niliposhangaa sana nikajishangaa, kwanini nashangaa wakati hata mabosi wake wa hapo mikocheni wameona ni sawa tu!
Kama na leo Hili litajirudia basi sitashangaa tena.
Nikikushangaa kutoka maraaa, ni wewe joooooji marato, wa ai ti viiiiiiii.
 
Back
Top Bottom