Naulizia garage nzuri Dar kwa magari ya BMW

money bag

JF-Expert Member
Jan 15, 2016
373
298
Wadau habari za mchana.

Naomba wazoefu wa maswala ya magari hapa Dar wanielekeze ilipo garage bora ya kufanya service na kutengeneza magari ya Kijerumani au BMW.

Nashukuru.
 
nenda bunju beach mtaa wa ishozi karibu na kiwanja cha shule kuna jamaa anaitwa mathiasi anazifahamu vilivyo gari hizi, Hata ya Mbowe naiona pale gereji
 
Wadau habari za mchana.

Naomba wazoefu wa maswala ya magari hapa Dar wanielekeze ilipo garage bora ya kufanya service na kutengeneza magari ya Kijerumani au BMW.

Nashukuru.
Nenda keko garage kwa masingasinga,pale penye fenicha au wakala rasmi NOBLE MOTORS vingunguti,wengine wanabahatisha
 
Nenda keko garage kwa masingasinga,pale penye fenicha au wakala rasmi NOBLE MOTORS vingunguti,wengine wanabahatisha
Kwakweli maana kauliza garge nzuri kwa gari za Bmw.....

Angeuliza Fundi mzuri wa Bmw labda pangekuwa na majibu tofauti kidogo.

Mwisho wa siku ni Elimu, ujuzi, uzoefu na vifaa vya kukanyia kazi

Kung-fu +255715871657..

Gari itafuatwa ilipo mkuu we kazi yako kutupa malekezo... ukiona tunakuchosha unatutumia location or gps coordinates.
 
Safii mkuu nimekuelewa sana fundi gud idea
 
Sina uhakika kama garage nzuri kwa hizo gari.. Kuna wakati nilikuta gari nyingi za dizain hiyo, garage ipo nyuma ya kituo cha polisi mwenge...
 
Haya magari ni very technical mkuu. Inabidi Uwe specific tatizo la gari ni nini!? Kwa mfano kuna mtaalamu wa Automatic transmission ya hizo gari, kuna mtaalam wa brake system, kuna Mtaalam wa A/C system, kuna Mtaalam wa electrical etc. Kuwa makini na kutafuta gereji tu ili mradi wanakuambia wanazimudu foreign cars, utalia mkuu. Kila la kheri.
 
Back
Top Bottom