Recent content by Bigymeech

  1. B

    JamiiForums Tanzania Kwako Rais Samia, fupa la ukwepaji Kodi Kwa wafanyabiashara wape wanunuaji wamalizane nalo lakini Serikali iwahamasishe kwa gawio katika manunuzi

    Siyo kwamba wafanyabiashara hawapendi kulipa kodi au wanunuzi hawapendi kudai risiti, kinachonyong’onyesha watu nikuona kodi zenyewe zinatumiwa vibaya na wachache walio kwenye mfumo. Ripoti za CAG kila mwaka ni ubadhirifu wa Hela!! Ukienda kwa hao wakusanya kodi wenyewe ndio balaa! Vijana...
  2. B

    JamiiForums Tanzania Niko Kigoma, kweli sura siyo roho

    Ili network ya Zambia isome ukiwa tunduma ni lazima uwe Karibu kabisa na gate la kuingilia Kama unaenda Zambia, hivyohivyo hata kwa Kigoma mtandao wa Burundi utasoma Kama upo Manyovu ila sio Kigoma mjini anayoielezea Mtoa mada. Kigoma mjini ni mbali sana kutoka mpakani.
  3. B

    JamiiForums Tanzania KERO Mabasi ya Abood (Dar - Moro -Dar) yanajaza abiria kupitiliza kama Daladala za Mbagala, hii si sawa

    Wanamuegemea kwenye seat yake wengine wanatoa harufu ya jasho inakuwa kero kwake.
  4. B

    JamiiForums Tanzania TANZIA Profesa Henry Mgombelo wa UDSM afariki dunia

    Acha uhashirati ushaambiwa ameolewa nakwakuongezea tu nikwamba tayari ana watoto wawili.
  5. B

    JamiiForums Tanzania Wanaokamata magari yanayoharibika barabarani ni kina nani?

    Dar kila mtu amejipa ajira mwenyewe. Kuna kikundi kinajiita wakala wa TRA wanatembea na Afisa wa TRA wakikamata gari ya biashara au lori Lina deni la TRA wanalazimisha ukalipie yard kwao ili wakuchaji na hela ya hao mawakala. Hata ukisema jamani Hela ninayo naomba control number nilipe...
  6. B

    JamiiForums Tanzania Changamoto za Spa za Dar es Salaam kwa wafanyakazi

    SPA za Dar asilimia Kubwa ni majumba yakwenda kupunguzia upwiru kwa waume na wasio waume za watu.
  7. B

    JamiiForums Tanzania Simu za Google Pixel zina shida gani?

    Ukiacha TRA na polisi nadhani TBS inashika nafasi ya tatu katika upokeaji rushwa. Vijana wadogo hawana hata muda mrefu kazini lakini wana ukwasi wa kuogopesha! Nchi imekuwa na bidhaa fake nyingi mno kuanzia mavazi, electronics, vipuli, vipodozi na bidhaa nyingine nyingi. Mwananchi ananunua...
  8. B

    JamiiForums Tanzania Je, wezi wa mtandaoni hawaliogopi Jeshi la Polisi Tanzania?

    Mambo sikuizi ni digital sio mpaka uache kazi zako uende mpaka kituo cha polisi kutoa taarifa ya uhalifu au utapeli, kupitia mtandao una uwezo wa kutoa taarifa polisi na polisi wakafanyia kazi Kama tu ulaya wanavyofanya.JESHI LA POLISI TANZANIA Lina akaunt Instagram Kama nilivyosema hapo juu...
  9. B

    JamiiForums Tanzania Je, wezi wa mtandaoni hawaliogopi Jeshi la Polisi Tanzania?

    Habari wana JF Kwa mujibu wa sheria utapeli mtandaoni ni miongoni mwa makosa ya jinai yanayodhughulikiwa na JESHI LA POLISI TANZANIA kupitia kitengo cha uchunguzi wa makosa ya mtandaoni. Kwasasa kumekuwa na akaunt nyingi mtandaoni za kitapeli hasa Instagram na Facebook zikijitangaza zinatoa...
  10. B

    JamiiForums Tanzania Nitajibu swali lolote linalohusu ujenzi kasoro neno bei gani. Technical tu

    Kwa Nyumba ya contemporary ili isiwe na joto natakiwa kujenga tofali ngapi (kozi ngapi) toka kwenye msingi mpaka kwenye Lenta(bim)?
  11. B

    JamiiForums Tanzania Asilimia 60 ya maafa ya mafuriko Dar es Salaam yanatokana na uzembe wa serikali, Raisi Samia akubali ukweli huu

    Wananchi hupangwa na serikali na sio kuwaacha wajipange wenyewe
  12. B

    JamiiForums Tanzania Hospitali gani Dar ya kujifungulia unahudumiwa na daktari wa kike?

    Mbona ume mind bwana afya! Unaona raha nini kushikashika nyuchi za wanawake? Unaona Kama naleta uchawi hivi kwenye fani yako!!
  13. B

    JamiiForums Tanzania Hospitali gani Dar ya kujifungulia unahudumiwa na daktari wa kike?

    Haya ndio mambo hatuyataki! Mwanamke ukishamuona uchi wake Halafu unamwambia uchi wake mzuri tayari mwanamke huyu hana tena ujanja. Daktari wa kiume kumchezea mwanamke utupu wake hii pia ni ukatili.
  14. B

    JamiiForums Tanzania Hospitali gani Dar ya kujifungulia unahudumiwa na daktari wa kike?

    Acha kutetea upumbavu wewe hata kama ni fani yako, unajiskiaje sasa baada ya kushika shika uchi wa Shemeji yako? Mwanamke ukishachezea tu uchi wake basi ushammaliza hana tena neno kwako anajawa na aibu hata ukitaka kumgegeda unamgegeda. Sasa Sijui unaangaliana vipi na Shemeji yako baada ya...
  15. B

    JamiiForums Tanzania Hospitali gani Dar ya kujifungulia unahudumiwa na daktari wa kike?

    Hivi unajiskiaje mwanaume mwenzako kuchezea Maumbile ya mke wako ? kisa ni mjauzito/mgonjwa basi maumbile yake hayana thamani yanaweza shikwa shikwa tu na mwanaume yeyote? Wanawake wetu wanakubali tu hawana namna ila huwa wanaona aibu ni basi. Mbona Arabuni hakuna huu utamaduni na imewezekana...
Back
Top Bottom