2sexy
JF-Expert Member
- Oct 3, 2020
- 647
- 1,350
Labour watu wanaingia na hijab(stara)halafu, si ukute sisi wanaume ndio tunashadadia sana kuficha uchi wakati wanawake wanajifungua au wanatibiwa, wao wanawake hata hawaoni shida kabisa. kwa wale wenyeji na labour hospitals, siku ukichungulia kwa bahati mbaya uone mikao waliyokaa kule, hata chupi haina faida kwao na wanaona inawatinga kutokana na uchungu, afu mjaa wivu mmoja aje leo awaambie waufiche kwa daktari? akili au matope hayo.
Vitu vikichanganya wanatembea uchi
Kikubwa amuombee mkewe ajifungue salama