Hospitali gani Dar ya kujifungulia unahudumiwa na daktari wa kike?

Hivi unajiskiaje mwanaume mwenzako kuchezea Maumbile ya mke wako ? kisa ni mjauzito/mgonjwa basi maumbile yake hayana thamani yanaweza shikwa shikwa tu na mwanaume yeyote? Wanawake wetu wanakubali tu hawana namna ila huwa wanaona aibu ni basi. Mbona Arabuni hakuna huu utamaduni na imewezekana? Inamana huku kwetu wanawake wameshindwa kabisa kusomea masomo ya udaktari ili waweze kuwahudumia wanawake wenzao? Maumbile ya mwanamke sio ya kuonwa onwa na kila mwanaume?
Mbona mtaani kuna boda anamkaza na husemi
 
Mkuu nikuhakikishie tu, mkeo uchungu utakapomshika hata akili ya kuchagua jinsia ya kumzalisha haitakuwepo, hilo liweke akilin. Achana na tendo la kuzaa, ni balaa. Akili huwaga hazipo, mama na heshima zake zote lakin kweny labor anakiwa sio yeye tena.

Kuhusu kushikwa, kwani haendi klinik, huko huwa anashikwa na mtaalam wa afya wa kike pekee??

Nikushauri, kamwe usiende hospital na hiyo altitude, wataalam wa afya wa kiume watamuacha mkeo kwa wataalam wanawake, na nikung'ate sikio sasa, wataalam wa afya wa kiume ndo mahiri na wa kuaminika zaid kuliko wa kike.

Nikuambie na kingine, ikitokea umesema wazi mkeo asishikwe na mtaalam wa kiume, hata hao wataalam wa kike wakizidiwa na kuwaita wanaume hawatoenda. Waza mara 2 mkuu. Kila la kheri, shemeji ajifungue salama.
Huyu akija hospital tutamsainisha Consent form kwamba nataka mke wangu asishikwe na mhudumu wa kiume ataweka na saini. Ili likitokea la kutokea sisi tunakuwa tunamzoom kwa mbali na kusmile 😊
 
Acha upunguani mkuu, inshort hayajakufika tena hujui chochote kuhusu hii fani na miiko yake, nina mifano mingi ya watu waliokaribu nami kunikabidhi wake zao wakiamini watakuwa salama wakiwemo baadhi ya ndugu zangu wa karibu mf br angu kabisa... imani ndio msingi wa kila jambo, mwaka fulani shehe mkuu wa wilaya niliyokuwepo alishawahi nikabidhi mkewe kipenzi akiwa na shida fulan ya uzazi, tena akaniomba nifanye kwa utulivu na amani kwani ananitegemea mkewe akae sawa, alipona shida yake na jogoo nkaletewa home sasa ww ni nani wa kuficha mkeo eti stara, stara kwenye maradhi ndugu? Sisi tunachojali ni privacy ya mteja ila mambo yenu ya kidini hayahusini na medicine, wataka niseme mnachowafanyia wake zenu wakiwa hedhi? Wakija hosp wanasema, wajua ukitaka usaidiwe ni sharti useme ukweli, mnajifanya kuwasindikiza kisa wivu au hamtaki siri zijulikane.

anaesthetic wangu namkubali sana kwenye general anesthesia ya ketamine wanasemaga yote anyway tuishie hapa😆😆😆😆
Ketamine 😁, kuna jamaa alimuacha mkewe soon baada ya c/s mwanamke alisema mtoto ni mwanaume mwingine
 
Nimefanya tafiti ktk hilo.

Msichana, mke akimvulia nguo akamtanulia miguu dr wa kiume....

Wengi ktk wanawake uadilifu kuondoka, wengi ktk wanawake wanaondoa ubinadamu wao, hupoteza heshima zao, huwa haogopi tena kumvulia nguo mwanamme mwengine.
Mkeo ndio yupo hivyo?
 
Acha kutetea upumbavu wewe hata kama ni fani yako, unajiskiaje sasa baada ya kushika shika uchi wa Shemeji yako? Mwanamke ukishachezea tu uchi wake basi ushammaliza hana tena neno kwako anajawa na aibu hata ukitaka kumgegeda unamgegeda. Sasa Sijui unaangaliana vipi na Shemeji yako baada ya kukuvulia chupi na kuichambua tupu yake Kama karanga? Hata kaka yako hawez kuwa comfortable tena kwako Kama alivyokuwa zamani mana hawez leta jeuri au jisifia mke wake mbele yako mana anajua unafaham uchi wake vizuri sana . Hizi tupu za wanawake ni Siri kati ya mume na mke. Usitetee upumbavu tunachosema hapa nikwamba inatakiwa tuanze kuwa na madktari wa kike wawe wanachambuana tupu wao kwa wao. Magonjwa yao sio lazima muwe mnawatibu nyie tu kwani huko vyuoni mnasoma wanaume peke yenu hakuna wanawake? Huoni hata aibu eti umemtibia Shemeji yako mke wa Kaka yako kabisa unamvua chupi na kumtanua miguu unashika tupu yake? Ulishindwa hata kumtafuta daktar rafik yako amtibu? Mimi nisingeweza tena kuonana na Shemeji yangu baada ya hilo tukio.
Tofautisha kushika shika nyuchi kama unavyofanya ww na matibabu, hivi ni vitu 2 diff, ushawahi sikia wapi wakielezea gender balance kwenye fani ya medicine? Huku kuna kazi wanawake hawawezi, japo siku hizi wako wabishi wanakomaa, ila best drs duniani ni wanaume, hata malkia wa uingereza hajawah kuwa na dr wa kike, anyway kama waona kuchezea nyuchi kama unavyoita ni bahati basi ingia kwenye fani, kumbuka kuna wakati huwa tunaitwa kuchezea hizo nyuchi kama unavyosema na mtu huendi, ingia kwenye hii fani vagina ni kiungo cha uzazi sio sex part kama akili yako inavyokutuma, kwa vile ni kiungo cha uzazi hawa hakiwezi vutia as sexy part, ndio maana nikiwa kazini ni kazini, kwa kazi hii nshakutana na masuper star, wanasiasa maboss nk ila sikumbuki kabisa nyuchi zao, nilikuwa kazini bwana, usiwe na wasi wasi leta mkeo tumhudumie usisahau kuleta na posho wategemea nitakula wapi?
 
Ndiyomaana huwa wanaondoa baadhi ya watu kwani siri nyingi huropokwa na mgonjwa anayezinduka,kwasababu ya Ketamine.
Ketamine noma ndugu, am sure hata huko kwenye makambi ya kutesa watu waseme zinatumika, maana hutumii nguvu ku download info kutoka kwenye ubongo wa victim
 
Mohamed Abubakar Bigymeech wengine itoshe kusema hizi ni story tu hatutishani tunaelimishana tu, hii fani ni pana mno kuliko hata mm ninavyoijua Afisa Tabibu ki2c Hypershulemia wengine wanajaribu tu kuwapeni briefings tu mambo no too complex, cha msingi acheni kuwabagua watoa huduma tena waziwazi hii hukatisha tamaa unaweza suswa maana wenye uhitaji wa huduma ni wengi ukisusa wenzio.... maisha ni mara moja tu ukifa ndio basi tena, siku zote jali kazi ya mwenzio jali mapaka yake utabaki salama, hii kazi itatakiwa uifanye kwa moyo mmoja with no flastruations. Iam out.
 
Ukiwa na mke na unategemea awe mzazi swala la sehemu zake za siri kuangaliwa na daktari mwanaume ni vigumu kuliepuka.

Hata hivyo tusidhanie hawa madaktari wanafurahia kufanya hivyo kwasababu mara nyingi wanapambana na damu,usaha,uchafu, harufu mbaya,, ni tofauti na wewe unapokutana na mwanamke kwa nia ya kufanya mapenzi..yeye daktari anakutana naye kama mgonjwa na sio mpenzi.
 
Ukiwa na mke na unategemea awe mzazi swala la sehemu zake za siri kuangaliwa na daktari mwanaume ni vigumu kuliepuka.

Hata hivyo tusidhanie hawa madaktari wanafurahia kufanya hivyo kwasababu mara nyingi wanapambana na damu,usaha,uchafu, harufu mbaya,, ni tofauti na wewe unapokutana na mwanamke kwa nia ya kufanya mapenzi..yeye daktari anakutana naye kama mgonjwa na sio mpenzi.
Well said
 
Dini imekuwa mzigo sana kwa Waafrika.

Mtu haulizii ubora wa mtoa huduma (competence) ila anaulizia jinsia ya mtoa huduma. Hii ni aina nyingine ya ubinafsi kwa maana ya kulinda wivu (adhaifu) wa mwanaume!!

"Sitaki mke wangu aonwe uchi wake na mwanaume".... una uhakika kuwa yeye hataki kuhudumiwa na mwanaume?

Ingekuwa vipi kama sote tungekuwa waumini wa dini hiyo isiyoruhuzu mwanamke asihudumiwe na mwanaume ilihali dini yenyewe inawataka wanawake wasifanye kazi bali wakae nyumbani na kulea waume, je huko hospitali tungempata mwanamke wa kumhudumia mwanamke mwenzake?

Hebu tutumie ako zetu katika kutatua mambo na si kuleta matatizo kwenye jamii na tuache kuongozwa na wivu wa kipumbavu
 
Back
Top Bottom