Recent content by biggboss48

  1. B

    Masturbation Notice!!

    Kama ulivuka form 3 siku hz form 5 bila puli mshukuru mungu sana
  2. B

    Karibu ceos Hub Tanzania

    0759385679
  3. B

    Mume kuitwa baba na mke wake

    Ni ukoloni flan hv. Ndo sabb sku hz wababa wanawala mabinti zao wenyew. Kama mama yao anakuita baba unaitika na badae unamsalome.. Unantekenyaga ukinyonga..... Na binti yako itakuaje ngum sasa..[emoji31]
  4. B

    Natafuta kazi, nina elimu ya kompyuta

    IT ambayo kicharazio tu kimekulendemsha utaijua vip disk mtepevu.[emoji32]
  5. B

    Maajabu vifaranga viwili ndani ya yai

    Tunawachinja after sometime. Sijawah ona wamekufa hovyo
  6. B

    Maajabu vifaranga viwili ndani ya yai

    Ni jambo la kawaida. Nyumban kwetu kuna kuku wa kienyeji hutaga mayai 10 had 12 na kat ya hayo yenye mapacha huwa 3 had 4. Kizaz chake kimekuwako tangu niko mdgo had sasa
  7. B

    Ufugaji wa Nguruwe: Fahamu faida, hasara na mbinu bora za ufugaji

    Add hii hapa pia. Niko dar 0759385679
  8. B

    Wabunge pingeni na kataeni kujengwa kwa Daraja la Juu ya Bahari kutoka Coco Beach to Agakhan

    Si kweli kabisa kwamba kuhamia dodoma kutaiacha dar kama bagamoyo ya zaman iliyoachwa na wakoloni. Dar bado ni central bussines zone ya taifa. Kuhamia dodoma ni jukum letu na kuijenga dar pia ni jukum letu. Taifa haliwez kuenda kama familia kwa kushika moja kwa wakat. Tupo watu 50+ kwa sasa na...
  9. B

    Wabunge pingeni na kataeni kujengwa kwa Daraja la Juu ya Bahari kutoka Coco Beach to Agakhan

    Katika maisha ni vyema kutafta taarifa kamili kabla hujasema. Yani soma uelewe Sikiliza uelewe na sio kusoma au kusikiliza ili kujibu. Hapana sabb ya kutoa povu mkuu. In short ni hvi..... Salama water front ipo pale pale sema kilichobadilika ni design. Na ishu ya salenda hakuna mtu asiejua...
  10. B

    Kilimo cha matikiti ni anguko la wengi mwaka huu

    Exactly. Na siku zote kilimo cha kutegemea mvua ni cha kupata chakula na sio cha biashara
  11. B

    Pipa la Nabii Geodavie linakuja mikoani jiandaeni"

    Kinachonikera zaid ni kelele. Yani mtu anaanzisha kanisa nyuma ya nyumba yako wapo watu 15 had 30 humo ndan lakin maspika makubwa kuliko ya fiesta singida 2016. Hatulali kisa kelele Wakichoka ndan wanatoka nje Kelele mwanzo mwsho Wanachohubir wao ni mistar michache ambayo mwsho wake ni kupiga...
  12. B

    Kilimo cha matikiti ni anguko la wengi mwaka huu

    Hii kitu its all about timing and target. Mfano Mwaka huu hasa mwez huu n muda mzur sana wa kulima nyanya na matikit sabb wakulima wengi hawatarud shamba kwa kukosa mtaji au kukata tamaa na watashift kwenye mahind na maharagwe ambayo saiv sikon n machache. Wakirud hapa watalia the same. Wew...
  13. B

    Wakulima Kilimanjaro/Arusha...

    Plz ukipata naomba na mim uniunganishe huko 0759385679
Back
Top Bottom