Pawaga
JF-Expert Member
- Feb 14, 2011
- 1,349
- 1,011
Habari ya majukumu,
Jamani mimi ni mfugaji wa kuku wa kienyeji toka mwaka 2011 na sasa nina zaidi ya kuku 700. Tatizo langu ni kuwa mwanzoni mwa mwezi huu niliatamisha kuku 18 ambao jana wametotoa vifaranga lakini nimeshangaa hawa KUKU WAMETOA VIFARANGA VIWILI VIWILI KWA KILA YAI na leo hii wale kuku wazazi wote wanaumwa wengne washakufa lakini vifaranga wote ni wazima na nimewaweka kwenye banda la kulelea vifaranga.
Je, hili ni tatizo gani na nini suluhisho lake?