Recent content by Big GM

  1. B

    JamiiForums Tanzania Taarifa za Zitto na Dr. Kitila kwa Umma Juu ya Kuvuliwa Nafasi za Uongozi ndani ya CHADEMA

    Kweli zito unabusara sana.endeleza bussra zako cdm kiimarike
  2. B

    JamiiForums Tanzania Rais Kikwete atuma salaam za rambirambi kwa askari aliyegongwa na msafara wake

    Jamani watz si rais kamchagua awe anamwakilisha?rais atafanya mangapi hata kama unamchukia basi mchukie pale inapostahilli sio kila kitu,apumzike kwa amani,amina
  3. B

    JamiiForums Tanzania Ridhiwani Kikwete akanusha tuhuma juu yake na kusema ni uhalifu wa mtandao!

    Yetu macho wanyonge
  4. B

    JamiiForums Tanzania MJADALA WA DHARURA: Jeshi la Polisi linafuga wezi au wenyewe ndio wezi?

    Polisi wanawajua wezi na wanakula nao,tunamwomba said mwema awe mkali kwani hali ya nchi inatisha kila siku watu wanavamiwa wanaibiwa hela nyingi tu,juzi jmosi kuna kijana aliuwawa na majambazi pale ubungo maji,na walichukua hela mpaka leo hawajakamatwa,swali je wale askari wa pkpk maarufu kama...
  5. B

    JamiiForums Tanzania Utajiri wa Kamanda Barlow Unatisha! Soma hapa...

    Napata machungu ujambazi unatokea mahali askari wanakuja baada ya saa moja je askari wetu ni wasafi kiasi hicho?
  6. B

    JamiiForums Tanzania Ramani Ya Helligoland Treaty: Ziwa Nyasa Lote Liko Malawi

    Hiyo ramani umetoa wapi?serikali haiwezi kingangania kitu ambacho hawana uhakika nacho,hata kwenyehisto ria tumesoma miaka ya 79 kuwa ziwa ni mali ya nchi mbili je tangia hapo walikuwa wapi mpaka leo?acheni ujinga bana,ukiangalia hiyo ramani utajua ni mtu wa malawi kachora,kwani ramani yote maji...
  7. B

    JamiiForums Tanzania Ramani Ya Helligoland Treaty: Ziwa Nyasa Lote Liko Malawi

    Hiyo ramani umetoa wapi?serikali haiwezi kingangania kitu ambacho hawana uhakika nacho,hata kwenyehistiria tumesoma miaka ya 79 kuwa ziwa ni mali ya nchi mbili jetangia hapo walikuwa wapi mpaka leo?acheni ujinga bana
  8. B

    JamiiForums Tanzania je kati ya watz 45 million kuna Mwakyembe mmoja tu?

    Kagasheki,mwakyembe,magufuli ndio mawaziri pekee tz wenye uzalendo na nchi yao wengine wanasubiria madili wapige wajilimbikizie aka jumba la mbezi beach nk
  9. B

    JamiiForums Tanzania Huduma ya supa cheka, vodacom inawalaghai/inawatapeli wateja wake?

    Voda wastaarabu,hata ukiangalia huduma zao huwezi kuzilinganisha na za tigo na airtel,kama unaona vipi hamia airtel au tigo ili wakiona wateja wanapungua watalegeza tu
  10. B

    JamiiForums Tanzania Kariakoo kwachafuka, maduka yafungwa...

    Serikali iwatafutie ajira ukiangalia sana watu hawana chakufanya ndo maana,njaa mbaya sana sidhani kama wangekuwa wameshiba au wana maduka kkoo wangefanya fujo.hapo swala la dini halipo hao ni wahuni,wkishindwa kutii sheria askari vunja miguu
  11. B

    JamiiForums Tanzania Maafa kutokea muda wowote Tanzania baada ya BUSARA kutoweka!

    Sindani kama muislam safi anashiriki matendo ya kihuni,mbona nipo na waislam mtaani na wao wanalaumu hivi vitendo,hao ni wahuni tu sio waislam,naishauri serikali itafutie vijana ajira ili wawe bize manake wakiwa mtaani wanaanzisha vikundi kama hivi,wazee ambao wapo huko ni wale walliochezea...
  12. B

    JamiiForums Tanzania CLOUDS FM ndiyo radio inayopendwa na kusikilizwa zaidi Tanzania .

    Redio ya vijana hata vipindi vyake vimebase kwa vijana watangazaji vijana,sidhani kama kuna mtangazaji amefikia 40yrs labda regina na mwenyewe sina uhakika
  13. B

    JamiiForums Tanzania Yanga kimeo tu imebakwa na kagera live 1-0

    Jamani kwani umefungwa kamba uishabikie yanga?ndg yangu hama kama hutaki kufa kwa presha,
  14. B

    JamiiForums Tanzania WAKORA SANA KAGERA SUGAR very fwantastic!!!!

    Kagera hhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhoooyeeeeeeeeeeeeeee nawapenda sana 1-0
  15. B

    JamiiForums Tanzania Yanga mnamfukuza lini kocha?

    Hongera kagera ila msiwe mnakomaa kwa hizi timu kubwa tu,hata ndogo komaeni tusikie hata siku moja kombe limeenda kaitaba nawapenda kwa sababu mnawafunga yebo yebo
Back
Top Bottom