Maafa kutokea muda wowote Tanzania baada ya BUSARA kutoweka!

Maafa kutokea muda wowote Tanzania baada ya BUSARA kutoweka!

Matokeo ya mvutano huu ndiyo yanatakiwa na pande zote mbili.....na wote wanajua kitakacho tokea......tamaa na choyo ndiyo vinawaongoza....damu itakayomwagika iwaandame kokote watakapokuwa.....WALAANIWE WOTE
 
Sindani kama muislam safi anashiriki matendo ya kihuni,mbona nipo na waislam mtaani na wao wanalaumu hivi vitendo,hao ni wahuni tu sio waislam,naishauri serikali itafutie vijana ajira ili wawe bize manake wakiwa mtaani wanaanzisha vikundi kama hivi,wazee ambao wapo huko ni wale walliochezea ujana wao,mwisho tuiombee nchi yetu amani
 
Jambo la kufanya kwa haraka ni kupiga marufuku shughuli zote za kuabudu zinazofanywa nje ya nyumba za ibada na kwamba vipaza sauti viwe kwa ajili ya kusikilizana ndani ya nyumba za ibada na kamwe si kupeleka mahubiri kwa watu wasiokuwa ndani ya hizo nyumba za ibada. Mh. Raisi usiogope kutoa agizo hili ingawaje litapingwa na wengi wanaoona njia ya kupata waumini ni kupitia mahubiri ya sehemu za wazi PakaJimmy Kitila Mkumbo Mkandara Mzee Mwanakijiji

hATA KULE CHINA WALIFANIKIWA KWA JAMBO HILIHILI KUINGIZWA KWENYE SHERIA ZA NCHI!
 
Jambo la kufanya kwa haraka ni kupiga marufuku shughuli zote za kuabudu zinazofanywa nje ya nyumba za ibada na kwamba vipaza sauti viwe kwa ajili ya kusikilizana ndani ya nyumba za ibada na kamwe si kupeleka mahubiri kwa watu wasiokuwa ndani ya hizo nyumba za ibada. Mh. Raisi usiogope kutoa agizo hili ingawaje litapingwa na wengi wanaoona njia ya kupata waumini ni kupitia mahubiri ya sehemu za wazi PakaJimmy Kitila Mkumbo Mkandara Mzee Mwanakijiji

katika hili kuna kufanikiwa kwa kiasi kikubwa sana. Je, swali huoni kuwa kuna haki ya msingi wahusika watakoseshwa?
 
Mwea Viongozi wa serikali na dini mbalimbali siku zote kazi yao huhitaji Busara Kubwa ili wanawaongoza waishi kwa amani na kuendelea kujitafutia mkate wao wa kila siku.

Hawa viongozi wameanza kutuonesha uhaba au kutotaka kutumia busara zao! TUIOMBEE NCHI YETU AMANI
 
Last edited by a moderator:
Sindani kama muislam safi anashiriki matendo ya kihuni,mbona nipo na waislam mtaani na wao wanalaumu hivi vitendo,hao ni wahuni tu sio waislam,naishauri serikali itafutie vijana ajira ili wawe bize manake wakiwa mtaani wanaanzisha vikundi kama hivi,wazee ambao wapo huko ni wale walliochezea ujana wao,mwisho tuiombee nchi yetu amani

hapana tusilisemee kiurahisi tu hli jambo kwasababu ukweli wa udini kuwepo nchi uko wazi
 
E Mungu tuepushe na ubinafsi, taifa letu lij angamia.

Ndugu zangu hii hali tete mimi nina mashaka nayo sana, na ninaamini CCM is behind these groups, CCM haiko tayari kuachua madaraka, wako tayari kutengeneza a state of unrest in the country as we approach 2015 ili waendelee kubaki madarakani! They cannot give a chance to clean government who will bring them to task! Tumuombeni Mungu sina imani Kikwete na serikali yake
 
Hata mimi imani yangu inanielekeza uko mdau!
 
MUNGU atupe hekima zaidi, na MAPENZI yake yatimizwe...!!! Ameeeeeeeeeeen....!!!
 
"We can choose our actions but we can not choose the consequences of our actions".
 
Niwakati sasa vyombo vya usalama viamke na kufanya kazi zao ipasavyo.Wakati wa utawala wa awamu ya kwanza usalama walipambana ipasavyo na yeyote yule aliyejaribu kutumia dini kuleta mfarakano kwenye jamii.Hatuelewi yale mafunzo waliyokuwa wanapatiwa wana usalama wakati ule yamebadilishwa na nani.Sasa hivi kila mtu anaweza kusimama jukwaani akatukana dini ya wenzake au akahamasisha waumini wake kufanya matendo ya uvunjaji sheria usalama wakimuacha tu.
 
katika hili kuna kufanikiwa kwa kiasi kikubwa sana. Je, swali huoni kuwa kuna haki ya msingi wahusika watakoseshwa?

Ngugu yange @Mwea sijasema watu wanyimwe kuabudu nachosema ibada zifanyike katika nyumba za ibada bila kupigiana makelele mitaani; mkiwa ndani ya ibada hata mkitukana watu wa imani "B" walioko ndani ya ibada ndio watakaosikia hilo tusi hivyo amani itaendelea kuwepo kwani upande wa pili watakuwa hawajasikia hilo tusi
 
Hamna cha haki.
hapa unabidi ku act very fact. kwanza hizi nyumba za ibado zipo kwenye residential areas
kutwa kucha kupigia kelele majirani, kimsingi kupiga marufuku miadhara ya dini kwenye maeneo ya wazi hakutanyima uhuru watu kuabudu, ila kutalinda haki ya wale wengine wasiotaka kusikia hayo mahubiri.
wazo zuri, lifanyiwe kazi.

katika hili kuna kufanikiwa kwa kiasi kikubwa sana. Je, swali huoni kuwa kuna haki ya msingi wahusika watakoseshwa?
 
Ponda na redio iman wamefanikiwa kwa kiasi kikubwa kuigawanya tanzania. Mbaya zaidi nchi utafikiri haina rais, sijajua kama kikwete anafahamu wajibu wake kama rais, rais anaendaje nje wakati nchi inaangamia?
 
Ponda anafanya makosa makubwa kwa kukiuka haki za binadamu! Anapaswa kutubu vinginevyo hata Mungu hatamsamehe!
 
Back
Top Bottom