Recent content by Big Deal

  1. Big Deal

    JamiiForums Tanzania Top five ya wasanii wakali wa Hip Hop Tanzania

    Niki mbishi..songa one hawapo???..list fake young killer bado mzee
  2. Big Deal

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msaada: Napendwa na wasichana mpaka kero

    Kweli we ni Bishororo
  3. Big Deal

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mashabiki Yanga wamsindikiza Manji polisi

    Kaambiwa aende ijumaa naenda Leo..tia ndan hadi kesho ili siku nyingine aheshimu mamlaka
  4. Big Deal

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kuna uhusiano kati ya haya yanayomkuta Manji na Yanga?

    Na hicho unachokiwaza ndicho alichokuwa anakitaka
  5. Big Deal

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kuna uhusiano kati ya haya yanayomkuta Manji na Yanga?

    Kwani alipomtaja alimtaja kama mwenyekiti wa yanga au Manji km Manji?...anajaribu kutafuta followers tu hatakiwi kuihusisha club na mambo take binafsi kazingua
  6. Big Deal

    JamiiForums Tanzania Yatasemwa mengi, lakini Tundu Lissu anatumia akili sana kwenye harakati zake

    Wakat serikal inahis inamkomoa lissu kwa kumkamata kumbe inawezekana kabisa Tundu alifanya alichofanya kwa makusudi ili akamatwe halafu kupitia kesi yake alipue anachotaka kulipua...huyu jamaa ana akili nyingi hadi anaudhi.
  7. Big Deal

    JamiiForums Tanzania Young Bilionea wa Madini wa Arusha Afariki Dunia

    Pole kaka nenda kajibu namna ulivyoutumia utajir wako kwa mzee
  8. Big Deal

    JamiiForums Tanzania Harmorapa akutana na P - Funk na kuongea mengi kuhusu music

    Huyu mtoto anapewa kiki za kiboya wakat Kazi zake hazisikiki mtaani uboya huo..matokeo yake jina kubwaaa ukija kuskia ngoma mimavi mitupu nyie mizukule kama ww mtoa post tafuteni nyimbo sake zitupieni humu tuskie siyo habar za Leo kavaa singlend Mara kesho kanyoa kiduku I don't think if we have...
  9. Big Deal

    JamiiForums Tanzania DODOMA: Kigwangalla aagiza kukamatwa kwa Kijana maarufu mitandaoni kwa ushoga, James Delicious

    Acheni kupuuza kila kitu..huoni akideal nae itawaogopesha washenz wengine?...tuwe tuna appreciate bad baadh ya vitu siyo kila kitu tunabeza tu
  10. Big Deal

    JamiiForums Tanzania Mwanachuo wa MUCE ajiua kwa kinachodhaniwa ni kukosa mkopo wa elimu ya juu

    Hebu angalieni huyo alopost hiyo picha alichokiandika...me sidhan kama mleta mada kakurupuka BT kaileta kama ilivyo
  11. Big Deal

    JamiiForums Tanzania Mwanachuo wa MUCE ajiua kwa kinachodhaniwa ni kukosa mkopo wa elimu ya juu

    Labda na ww ukataa kisiasa je?
  12. Big Deal

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu akamatwa na Polisi akiwa bungeni Dodoma

    Bwana mkubwa ajitathmini upya aysee maana this is too much sijui ni uwoga au vipi?
  13. Big Deal

    JamiiForums Tanzania Diamond kumwekea dhamana Romy Jones na Petit man?

    Asa unatuuliza sisi?..we mwehu kweli aysee
  14. Big Deal

    JamiiForums Tanzania Haya ndiyo maajabu ya team kiba kwa diamond

    Jibu swali
  15. Big Deal

    JamiiForums Tanzania Haya ndiyo maajabu ya team kiba kwa diamond

    Hivi utajiri unaangalia gari unayotembelea eeeh?..acha unyumbu angalia gari aliyokuwa anatembelea mmiliki wa Facebook.
Back
Top Bottom