Habari wana JF,nina kerwa sana na jambo hili kwa muda mrefu nimelileta kwenu ili nipate mawazo yenu,Mimi ni kijana nina mchumba ila tabia za mchumba wangu zinanitia mashaka mpaka nimeanza kuhisi kushindwa kuwa katika huu uchumba.
Habari iko hivi,
Mchumba wangu anakaa kwa dada yake ambae...