Tafadhali ushauri una hitajika | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tafadhali ushauri una hitajika

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by BIF, Oct 25, 2012.

 1. BIF

  BIF Member

  #1
  Oct 25, 2012
  Joined: Aug 2, 2012
  Messages: 47
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wana JF samahani kwa kuleta topic hii hapa,ila nahitaji msaada kwa yoyote aliekwisha fanya Interview kwenye hii tume ya ajira,Mimi nimeitwa kwenye Interview ambayo itafanyika tarehe 30 mwezi huu ivyo nahitaji kudokezwa mambo ambayo ni muhimu kuwa nayo na aina ya maswali ambayo wanapenda kuuliza kwa nafasi ya "COMPUTER OPERATOR"
  Nahitaji mawazo yenu wakuu japo si mahali pake hapa.
   
 2. korino

  korino JF-Expert Member

  #2
  Oct 25, 2012
  Joined: Dec 6, 2011
  Messages: 492
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 45
  penhe!!!
   
 3. kibol

  kibol JF-Expert Member

  #3
  Oct 25, 2012
  Joined: Apr 24, 2012
  Messages: 3,137
  Likes Received: 379
  Trophy Points: 180
  naona kama umekosea jukwaa mkuu.
   
 4. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #4
  Oct 25, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 303
  Trophy Points: 160
  usijali hata kama umekosea jukwaa, mods watahamisha.

  Sijawahi kufanya usaili huo, ila kama una uzoefu wa kazi sioni cha kukutisha.
   
Loading...